Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,751
- 15,545
Mimi naamini duniani lolote linaweza kutokea hata bibi wa miaka 90 kuzaa Mtoto,
Je tuna wanawake ambao wapo Tayari Kufikisha 35 years bila kuwa na mtoto na ukawa na amani kusubiri zaidi Siku yako ?
Au ndio tunafikiri Mungu ni Mungu wa Yes kila kitu ?