Hivi yule Sabaya tuliyeambiwa majuzi kuwa anaumwa sana anatakiwa kufanyiwa Oparesheni ndiyo wa jana aliyekuwa na Furaha vile?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Endeleeni tu kutufanya Mangumbaru ( Wajinga ) na Wapumbavu ( Mapopoma ) kwa kila mara kutufanyia Maigizo yenu wakati tunajua kuwa mnataka kumuachia ila kwakuwa mmeshajua kuwa ana Hoja nzito, mlimuonea hivyo sasa mnatafuta Mazingira ya Kumuachia ili yaishe na msionekane kama mlikuwa mnamkomoa tu.

Hebu muachieni tu Huru upesi ili tupumzike na Maigizo yenu na kama Taifa tuweze kuendelea na mengineyo mengi.
 
Alishawahi kufungwa Ditopile nadhani alikuwa mkuu wa mkoa
Hakufungwa yule, alihifadhiwa tu mahali ili kupunguza munkari za Raia baada ya Kumlamba mtu Risasi za Kichwa mchana kweupe...

Umewahi kusikia wapi ndani ya nchi hii muuaji amekaa ndani hata miaka mitano haikuisha, na kesi ikamalizika.
 
Back
Top Bottom