Hivi Yule mpinzani Rais Mseven Dr.Kizza Besigye yuko wapi

Wakulonga

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
762
772
Leo nimeona jinsi Bob Wine allivyokamtwa nimemkumbuka sana huyu Besigye ambaye alionekana kuwa machachari kwenye siasa za Uganda. Kama kweli ana nia thabiti ya kumng’oa M7 basi aungane na huyu dogo. Pamoja wataweza hata Sudani ilikuwa kama Uganda
 
Museveni ameshachokwa na 40 yake inachungulia..
Na huyu kichwa maji asijaribu kubadilisha Katiba..
Amuangalie Al Bashir alivyo hizi sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom