Mtemikwila JF-Expert Member Aug 29, 2013 1,388 1,058 Jul 28, 2017 #1 Enyi wana dasalama wazee wa Kiki,hivi kijana wenu Yule HARMO RAPA yupo huko?? Maana hasikiki kabisa nowadays... Sent using Jamii Forums mobile app
Enyi wana dasalama wazee wa Kiki,hivi kijana wenu Yule HARMO RAPA yupo huko?? Maana hasikiki kabisa nowadays... Sent using Jamii Forums mobile app
Perpendicular JF-Expert Member Jul 5, 2015 1,494 1,178 Jul 28, 2017 #2 Mkuu mbona umeleta jukwaa la siasa huyo Harmorapa ni mwanasiasa?
kijani11 JF-Expert Member Jan 19, 2014 7,648 7,447 Jul 28, 2017 #3 Kwenye siasa?!!!! Au lugha ya picha/tafsida.
Mystery JF-Expert Member Mar 8, 2012 15,486 30,166 Jul 28, 2017 #4 Perpendicular said: Mkuu mbona umeleta jukwaa la siasa huyo Harmorapa ni mwanasiasa? Click to expand... Yaani wanatuletea hao mabishoo wavaa 'kk' huku Jukwaa la siasa? Mods nyofoa huu Uzi na tupa kule....
Perpendicular said: Mkuu mbona umeleta jukwaa la siasa huyo Harmorapa ni mwanasiasa? Click to expand... Yaani wanatuletea hao mabishoo wavaa 'kk' huku Jukwaa la siasa? Mods nyofoa huu Uzi na tupa kule....