Hivi "Young" ni sawa na "Yanga"?

MGILEADI

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,631
Points
2,000

MGILEADI

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,631 2,000
Nisawa na jina KARIAKOO lilipatikana kwa wenyeji kutamka CARRIER CORPS,ndio ikawa Kariakoo mpaka leo,sasa mleta mada iko siku atauliza nini maana ya Kariakoo?!
Inaonekana mleta mada hazingatii kinachoitwa historia ya jambo. Yeye anaangalia leo tu na hapa tu. Hiyo ya Kariakoo kali sana. YOUNG Africans na Yanga. Carrier Corps na Kariakoo. Mjadala lazima uishe hapo.
 
kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
4,909
Points
2,000

kavulata

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
4,909 2,000
Nisawa na jina KARIAKOO lilipatikana kwa wenyeji kutamka CARRIER CORPS,ndio ikawa Kariakoo mpaka leo,sasa mleta mada iko siku atauliza nini maana ya Kariakoo?!
q
Hapa kwa kariakoo wengi hatukulijua hili, ahsante. Hata hivyo Kariakoo ndilo jina halisi kwa sasa lakini Yanga linatumika kama jina halali na rasimi na watu wote hata serikali wakati sio jina halisi la timu
 
Kariakoo upo mtaa, na ni rasmi. Yanga si rasmi documents zinatambua Klabu kama Yoing Africans. Nilisema juu kuwa Young Africans ikibadili na kurasimisha iwe Yanga. itatambuliwa jams Kariakoo. Kabla ya hapo waswahili tutakiita Klabu Yanga bila shida.
 
Larkspur

Senior Member
Joined
Aug 30, 2016
Messages
192
Points
250

Larkspur

Senior Member
Joined Aug 30, 2016
192 250
Barca ina maana gani? Dar in maana gani: Ama Ronaldinho kwa Ronaldo ina maana Gani? Ama Jair kwa Jairzinho ina maana gani? Unajua nickname wewe? Nimetumia mifano ile ili uelewe nini kinachoendelea hapo. Watumie Greens wao Waingereza?

Barca kwa Barcelona inalink kwa jina hilo tu. Katika Espagnol halina maana yoyote nje ya Barcelona. Ndivyo ilivyo Yanga. Maana yake inlink kwa jina Young tu. Ukikuta majina kama Ernestito utalaumu watu wewe kwa nini hamumuiti Ernesti!

Kwa kuongezea, miaka hiyo timu hizi mbili Young Africans na Sunderland zilijipa miji. Yanga wakachukua Kuala Lumpur, Malaysia na Sunderland wakajitwalia Abidjan, Ivory Coast. Sunderland wakishinda utasikia mashabiki wakishangilia; "Abidjan oyeee! Lumpa ziiii!".Young Africans wakishindia utasikia "Lumpa oyeee! Abidjan ziiii!" Lumpa ikawa jinsi walivyoutamka na kuandika mji wao Kuala Lumpur. Sunderland waliwaita Young Africans kiutani "Makuala hao" kutokana na jina la Kuala Lumpur ama "Lumpa". Mashabiki wakiulizana hata shuleni tuliposoma:"Wee timu gani bwana?" Mtu alijibu ama Lumpa ama Abidjan".

Linganisha na Cavaliers wa NBA huitwa "Cavs"; Juventus na "Juve", Paul Gascoigne na "Gazza", Ramadhani na "Rama", Bakari na "Beka". Kwa mfano tu. Khalikh na "Likky". Juve ina maana gani? Likky ina maana gani? Cavs ina maana gani? Gazza ina maana gani? Au kwa sababu Waswahili wamejipatia nickname yao wewe hutaki kuelewa mpaka iwe Barca ndiyo nikname? Yanga ni nickname ya Young. Wameswahilisha Young. Wako sawa tu.
Mkuu umeelezea vizuri mno tena kwa hisia kali kuhakikisha unaeleweka. "Thumb up" mkuu
 
trudie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Messages
741
Points
1,000

trudie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2014
741 1,000
Nisawa na jina KARIAKOO lilipatikana kwa wenyeji kutamka CARRIER CORPS,ndio ikawa Kariakoo mpaka leo,sasa mleta mada iko siku atauliza nini maana ya Kariakoo?!
hivi ni carrier call au carrier corps??? nakumbuka wakati tunasoma mwalimu wetu alituambia ni carrier call baada ya watu kushindwa kuitamka ndio Kariakoo ikazaliwa
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Messages
12,116
Points
2,000

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2013
12,116 2,000
sasa Sunderland mbona leo inaitwa simba je ni umbumbumbu wa vingozi wao au vipi
Hiyo ni kama Daud Albert Bashite alivyojibadili na kuwa Paulo Christiano Makonda na hii ni kutokana na ufaulu wake kuwa mzuri katika kisomo chake cha sekandari
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
4,618
Points
2,000

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
4,618 2,000
Ni neno sahihi kwa matamshi ya kiswahili yaliyotoholewa kutoka neno la kingereza 'younger' linalotokana na neno young.
Kwa kingereza neno 'younger' ni adjective yenye kumaanisha "changa" ama mdogo.
 
hb81

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Messages
257
Points
250

hb81

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2016
257 250
Young sio yanga hata siku moja bora wangesema yang. Hapo sawa sio yanga labda tuulize wazee waseme maana ya yanga ni nini maana haliingii kwenye tafsiri sahihii
 
Forum statistics

Threads 1,344,647
Members 515,967
Posts 32,830,857
Top