Just curious, naombeni mnifahamishe maana kila nikijaribu kuchunguza mechi zao naona kama wanapeleka tu mpira mbele ili mradi purukushani izae goli.
Just curious, naombeni mnifahamishe maana kila nikijaribu kuchunguza mechi zao naona kama wanapeleka tu mpira mbele ili mradi purukushani izae goli.
Haruna Moshi "Boban" himself anatumia mfumo gani?,ile style ya juzi ni ya mfumo gani?
Haruna Moshi "Boban" himself anatumia mfumo gani?,ile style ya juzi ni ya mfumo gani?
Anatumia mfumo wa Kung Fu kama Eric Cantona. Unaswali.
Just curious, naombeni mnifahamishe maana kila nikijaribu kuchunguza mechi zao naona kama wanapeleka tu mpira mbele ili mradi purukushani izae goli.
Na Simba yako je...wanatumia fomesheni gani??
Katika mechi ya Yanga v Simba, kipindi cha kwanza Simba walipata goli lao wakiwa na ball possession ya 59% v 41% ya Yanga. Kipindi cha pili, Yanga walisawazisha goli wakiwa na ball possession ya 69% v 31% ya Simba.
So, sijui Yanga wanatumia fomesheni gani wala Simba. Lakini based on head-to-head statistics hizo hapo juu, Yanga ilipata goli kwa kumiliki mpira zaidi (therefore more entertaining) kuliko Simba walivyomiliki wakati wa kupata bao lao.
Nimekutafunia, meza!
goli la simba la movie la yanga la penalt,unalo?
goli ni goli tu weweee!!!goli la simba la movie la yanga la penalt,unalo?
dah! we na Boban, Boban na wewe; nina wasiwasi na mtoto utakae zaa kama hawatafanana sijui.Haruna Moshi "Boban" himself anatumia mfumo gani?,ile style ya juzi ni ya mfumo gani?
juma seif kijiko fomesheni, ugonjwa wa kusahau haraka!!!!Haruna Moshi "Boban" himself anatumia mfumo gani?,ile style ya juzi ni ya mfumo gani?
mi nadhani tumualike Minziro Jamvin labda ye atatuambia
5-4-1 and still they ship in goals like a rugby team