kazikubwa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 597 Reaction score 151 Oct 16, 2012 #21 Angalia kama Mzee Akilimali yupo jirani. Nanong'ona, Yanga hawana mfumo wowote.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,142 Reaction score 27,277 Oct 16, 2012 Thread starter #22 Mimi niliuliza mfumo wa Yanga, sio wa timu nyingine. Simba mfumo wao unaeleweka na ndio maana hata shambulizi unaona linavyopangwa.
Mimi niliuliza mfumo wa Yanga, sio wa timu nyingine. Simba mfumo wao unaeleweka na ndio maana hata shambulizi unaona linavyopangwa.