Hivi Yanga wanatumia fomesheni gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Yanga wanatumia fomesheni gani?

Discussion in 'Sports' started by Faru Kabula, Oct 6, 2012.

 1. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,640
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Just curious, naombeni mnifahamishe maana kila nikijaribu kuchunguza mechi zao naona kama wanapeleka tu mpira mbele ili mradi purukushani izae goli.
   
 2. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280
  Mkuu huu mwaka 2012, eti unauliza formation katika mpira wa Yanga au Simba uoni haibu? Kwa taarifa yako hizi timu ni timu zinazoua mpira wa kibongo pamoja na wadhamini wao. Katika mechi ya juzi, je uliona ujuzi wowote wa kutafuta magoli zaidi ya kuvunjana miguu? Hili ndilo tatizo la kuwa na wachezaji wachawi wasiofundishika. Ukiendelea kufuatilia mpira wa Simba na Yanga haki ya Mungu utajiua kwa pressure, mpira gani mwaka nenda mwaka rudi yale yale tu, butua butua tutapata goli Mungu akipenda.
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Yanga wanatumia 4, 4, 2. mia
   
 4. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Haruna Moshi "Boban" himself anatumia mfumo gani?,ile style ya juzi ni ya mfumo gani?
   
 5. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,917
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  mi nadhani tumualike Minziro Jamvin labda ye atatuambia
   
 6. Bwana Mapesa

  Bwana Mapesa JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,917
  Likes Received: 660
  Trophy Points: 280
  Juma Seif Kijiko's Style...U got Problem with dat?
   
 7. A

  Abuu- Amin Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Timu zote za Bongo zinatumia formation ya" twende pale Mpira ulipo"
  Formation za 442, na nyinginezo ni nadharia tu ya mdomoni na practically n wote tunaufuata Mpira ulipo.
   
 8. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Anatumia mfumo wa Kung Fu kama Eric Cantona. Unaswali.
   
 9. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha, Mheshimiwa..sina swali la nyongeza!
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwani wewe unafahamu formation za namna gani?
  4 5 1 Bahanuzi akibakia kama lone striker ndio mfumo niliouona juzi.
  Tatizo lenu vijana wa 90 s hamjui mpira mnaishia kusikia story za kina Dr leak na kibonde
   
 11. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Na Simba yako je...wanatumia fomesheni gani??

  Katika mechi ya Yanga v Simba, kipindi cha kwanza Simba walipata goli lao wakiwa na ball possession ya 59% v 41% ya Yanga. Kipindi cha pili, Yanga walisawazisha goli wakiwa na ball possession ya 69% v 31% ya Simba.

  So, sijui Yanga wanatumia fomesheni gani wala Simba. Lakini based on head-to-head statistics hizo hapo juu, Yanga ilipata goli kwa kumiliki mpira zaidi (therefore more entertaining) kuliko Simba walivyomiliki wakati wa kupata bao lao.

  Nimekutafunia, meza!
   
 12. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,129
  Likes Received: 2,186
  Trophy Points: 280
  goli la simba la movie la yanga la penalt,unalo?
   
 13. I

  Isoliwaya Senior Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  So what?
   
 14. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,337
  Likes Received: 6,684
  Trophy Points: 280
  goli ni goli tu weweee!!!
   
 15. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Kama ndio hivyo,ball possesion ya nin kuzungumzia?! Tunataka goli na ushindi hzo entertainment ni kwa Barcelona labda...
   
 16. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  dah! we na Boban, Boban na wewe; nina wasiwasi na mtoto utakae zaa kama hawatafanana sijui.
   
 17. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  juma seif kijiko fomesheni, ugonjwa wa kusahau haraka!!!!
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  5-4-1 and still they ship in goals like a rugby team
   
 19. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280

  Usichekeshe bwana, Minziro mwenyewe si kocha bali mbabaishaji.....unafikiri atakuambia nini?
   
 20. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,205
  Trophy Points: 280

  Mchawi hafundishiki kucheza mpira hata iweje. Mpira ni kipaji, na ukiwa na wachezaji wenye vipaji ndipo unaweza kusema una timu lakini si hawa wa Simba na Yanga. Mchawi anatumia formation? Huyo mchawi wa wapi mleteni hapa tumjue na tumuulize anafanyaje fanyaje. Mkitaka formation angalieni mipira ya nje, hapa Bongo mtajipa pressure bure au la kama mna hela na muda wa kupoteza sawa, angalieni.
   
Loading...