Pole mwaya...
mapenzi yanaumiza
hivi mapenzi ya kuliliana hivi bado yapo??
mkiambiwa muwage na michepuko mnabisha, ona sasa madhara yake. saiz si ungekimbilia kwake kupata pumziko fupi?
duuuh!! huu ushauri ndio ulompa shem Kaizer? dada Heaven on Earth unakubaliana na hili?