Hivi wewe hua UNAJISIKIAJE?......

Habari wanajamvi?
Eti hua unajisikiaje unapokaa chini halafu unapata tafakuri ukaamua kushare na wanajamvi halafu baada ya masaa kumi unakuta unaREPLY 1 TU.?
hua = huwa
hua ni njiwa, sidhani kama kwenye uzi wako ulimaanisha "njiwa unajisikiaje....."
 
Habari wanajamvi?
Eti hua unajisikiaje unapokaa chini halafu unapata tafakuri ukaamua kushare na wanajamvi halafu baada ya masaa kumi unakuta unaREPLY 1 TU.?
sio mbaya sana...maana kuna muda unaweza ukapost watu wapo mazini au wapo njiani hivyo post ikawa kama imepotezewa...but hii isikusumbue kichwa kama ni jambo jema uliloliandika litakuja kusaidia wengine...siku za mbele
 
Kuna mtu alituma uzi baada ya mwaka mmoja na mwezi mmoja ndio umejibiwa. Sikumbuki jina la uzi lakini mtu wa mwanzo kujibu alikuwa Mshana jr

Ndukiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom