Hivi wenzetu wahindi hawana timu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi wenzetu wahindi hawana timu?

Discussion in 'Sports' started by Mzito Kabwela, Jul 4, 2010.

 1. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  ..Ni swali ambalo limenijia kutokana na sekeseke hili la kombe la dunia. Wadau naomba msaada kutoka kwenu kama kuna anayejua kuhusu soka huko India. Zaidi ya hayo hongera Ghana kwa kufika hapo ilipofika
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,497
  Likes Received: 81,829
  Trophy Points: 280
  Wana team lakini kiwango chao bado ni kidogo sana ukilinganisha na nchi nyingine katika bara lao la Asia.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  wahindi asili yao ni cricket, mpira wa miguu waliuacha baada ya FIFA kuwawekea ngumu kucheza miguu peku...kwanzia hapo walisusa
   
 4. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Hapo penye red, unaweza kufafanua vzr naona imekaa kifix fix tu!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  we jua hivyo....habari ndio hiyo
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  kweli si mchezo
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa...naona nimekushika pabaya! Ndo mana najivunia kuwa m-bongo
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  lazima ujivunie kuwa m'bongo kwa sababu hili la wahindi kutaka kucheza peku ni wewe tu hulijui
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  e tehe tehe tehe! kha we Preta we du!
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Jul 4, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Walipo ng'ang'aniwa sana nasikia wakachaguwa makubazi...!
   
 11. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wahindi wana timu lakini India,Pakistan,Bangladesh,Sri lanka na Nepal huwa wanafungwa mabao hadi kumi na Korea,Japan na Waarabu kwenye mechi za Asia na mchujo wa Worldcup.
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Naona wahindi tunatoka nao droo.
   
 13. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nilipokuwa kule Asia, nilikutana na kituko! Kuna nchi moja ndogo ambayo ni kisiwa inaitwa Maldives, ipo kusini-magharibi mwa India. Basi nilikutana na stori kwamba rais wa Maldives ametangaza kuwepo kwa siku ya mapumziko baada ya timu yao ya Maldives kuichapa India goli 1-0. Kwa hiyo wakati mnawadharau India kwa kiwango kidogo cha soka, wengine wanatangaza public holiday kwa kuichapa hiyo India!
   
 14. doup

  doup JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Kwenye soka wahindi hatuwezi kabisaa! japokuwa sisi wenyewe bado viraza unajua zile kachori za piripiri zinawafanya wasiweze kuhimili mikiki ya dk 90+.
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha umenichekesha doup:A S 39:
   
 16. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hiyo ya maldiva kali! a off.Kumbe hata sisi tungemfunga Brazil na vile presidaa anvyomaind michezo inge national day oofff!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  india ni nchi kama tz. Mbona hauishangai tz? Mbona haushangai kuwa ukitoa West Africa na waarabu na SA mbona hakuna tena taifa kwenye WC?
   
 18. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2010
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu kubali tu kwamba some people are more equal than others.Tanzania si kama India, nyanja zote wametuzidi. Mpaka tutakapotambua jinsi tulivyo (Tanzania) duni, tuanze moja ndo tutaweza kuendelea. Otherwise viongozi watafisadi wee mpaka nchi i-colapse wa-kiforce wao na si nchi kulingana nao (waarabu, wahindi, wachina, wazungu n.k)
   
 19. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jinsi tunavyoona india haisikiki katika soka ndo sawa nawe uwe india na usema Tanzania kuna timu ya Soka, watakushangaa sana. india wanatuzidi sisi wabongo Mbali kabisa........Si katika soka tu hata michezo mingine....kimaendeleo ndo tupo nyuma kabisa......
   
 20. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Aaaaaa wapi labda wametuzidi kwa filamu tu, lakini kwa soka nehi! nehi! tumewazidi kama huamini cheki basi na viwango vya ubora wa soka vinavyotolewa na FIFA!
   
Loading...