jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
nahisi iko hivi, wenye 2 wengi wamepambana na ushindani na wenye 1, but wenye 3 waliomba vyuo na cozi ambazo hazina ushindani ndo maana wamepatayaan sielewii cjui vigezo gan vimehuska
pole1-9 nimetemwa
Nikupe tano! Jibu sahihi sana! Wenye div 2 walijiamini wakajitumbukiza kwenye vyuo na kozi zenye ushindani mkubwa hivyo wakapambana na wenye 1 za ukweli hivyo kujikuta wametupwa nje na selection system.! Hata wenye one ya 9 wengine wametupwa nje na tumewasikia humu wakilalamika. Tatizo ni watu kupima suti ndefu kuliko urefu wao!Mi navyojua inategemea na competiton... inawezekana wa 1 kachukuliwa kutokana na ufaulu wake ni mzuri ila wa 3 labda kutokana alijiona ufaulu wake sio mzuri akaona achague koz na vyuo ambavyo havina ushindani ndo akapata.. mwenye two kwa vile kaona kafaulu vizuri akaingia kwenye ushindani na ndo yakatokea hayo... inategemea mtu na machaguz yake
Mlijaza utumbo ndomaana mnakosa kila mtu a nataka UD mzumbe ardhi udom yan kupigwa Chini LAZIMAInanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round
AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
Ulichagua kozi zipi na kwenye vyuo vipi?1-9 nimetemwa
Lazma utemwe kwani 1.9 ndo nn watu Wana ya 3 alafu ulivyokuwa mbumbumbu unalazimisha koz zenye ushindani1-9 nimetemwa
Ongea kwa heshima na adabu! Vinginevyo unawaaibisha waliokulea!Mlijaza utumbo ndomaana mnakosa kila mtu a nataka UD mzumbe ardhi udom yan kupigwa Chini LAZIMA
Semeni tuwape ushauri msikose tena msikurupuke mlivyopata 2 zenu mkajiona mmepiga sana kwa hadhi ya UD hadhi yenu saiv ni mihayo University College
Mkuu hizo selection unaziangalia vipi?Inanishangaza hii kila aliekosa nafasi kwa first round ni mwenye div2 sijasikia mwenye one au three ya mwanzo yaani DDE wanalalamika au wanaomba msaada wa second round
AU TCU WAMEWABANIA KWA MAKUSUDI ZAIDI WENYE DIV2?
Huwezi kumwona mpaka akupe username na password yake ili uingie kwenye profile yake kupitia cas. Ila nahisi yeye mwenyewe saa hii atakuwa keshafahamu kama hata kwa kutumia smartphone yake au ya rafiki zake au internet cafe! Wasiliana naye!Mkuu hizi selection naweza kuzionaje? Embu nielekezeni nataka nimwone mdogo wangu kama kapata
Asante mkuuHuwezi kumwona mpaka akupe username na password yake ili uingie kwenye profile yake kupitia cas. Ila nahisi yeye mwenyewe saa hii atakuwa keshafahamu kama hata kwa kutumia smartphone yake au ya rafiki zake au internet cafe! Wasiliana naye!