Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,610
- 287,317
Mjomba unajua kuna watu wanadhani sisi ni wenye uwezo mdogo sana , lakini nakuhakikishia watakuja kutukumbuka .Kama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?
DodomaAsante sana kwa majibu mazuri.
Hivi na hii ni post inayogiyaji kujadiliwa?Kama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?
Kama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?
Usijifanyi huelewi.Kaja huko tena kwa ndege ya kukodi na sijiu atarudi kwa ndege gani na fikiria hii ndio iwe trend kwa miaka 4.Haya sasa magoli; kwa hiyo kama amehamia Dodoma hapaswi kwenda tena Dar kikazi au mikoa mingine? Kilichohamia ni ofisi yake na makazi yake rasmi; hii haina maana hatokwenda Dar au mikoa mingine kufanya kazi mbalimbali.
ErythrocyteHaya sasa magoli; kwa hiyo kama amehamia Dodoma hapaswi kwenda tena Dar kikazi au mikoa mingine? Kilichohamia ni ofisi yake na makazi yake rasmi; hii haina maana hatokwenda Dar au mikoa mingine kufanya kazi mbalimbali.
Unataka kujua ili iweje,au una nia ya kumdhuru waziri wetu mkuuKama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?
hapana mkuu kuna macdonalds subway na burgerkingHivi dom kuna steer ama KFC?
weka akiba ya maneno mkuu,no one give a damn about these dictators safety.
kumbuka kodi yangu inachezewa chezewa tuweka akiba ya maneno mkuu,
kodi yako si kigezo cha kusema lolote mkuukumbuka kodi yangu inachezewa chezewa tu
Dar kuzuri Dodoma vumbi tuuYuko dar anakula bata hataki kukaa kwa wagogo
PM yuko Daaar...kwao Daaar!Kama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?
Kaka kila kitu ni DSM mzee huko dom tunalazimisha.wadau walisha sema itakuwa lazima kwenda dsm Mara kwa mara wengine wakabishaHaya sasa magoli; kwa hiyo kama amehamia Dodoma hapaswi kwenda tena Dar kikazi au mikoa mingine? Kilichohamia ni ofisi yake na makazi yake rasmi; hii haina maana hatokwenda Dar au mikoa mingine kufanya kazi mbalimbali.
Ukiishajua then....? Jishughulishe acha umbea.Kama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?