Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,198
- 162,737
- Thread starter
- #81
Kama ni mzazi wako au babu yako sema tu tukuelewe.Mmezoea kuishi kwa uongouongo na kuhadaa watu mkidhani mnaongoza watoto wadogo.Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Hao wahindi sio ndio walikutwa na begi la hela Dodoma alafu mkawabeba kisa ni watu wenu?Au ndio wewe nini?
