Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,198
- 162,739
- Thread starter
- #61
Wewe bado uko kwenye mental evolution!!Unataka kujua ili iweje,au una nia ya kumdhuru waziri wetu mkuu
Wewe bado uko kwenye mental evolution!!Unataka kujua ili iweje,au una nia ya kumdhuru waziri wetu mkuu
Kama hajarudi sijui atakuwa analipwa perdiem?
chezea daresalaam wewe.View attachment 416301![]()
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa makampuni ya Azam Bwana Said Salim Bakhresa ambapo alimueleza waziri mkuu nia yake yakuendelea kujenga viwanda zaidi vya kusindika matunda na chakula mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa waziri mkuu magogoni Dar es salaam leo.
Asante hatimae nimepata majibu.View attachment 416301![]()
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa makampuni ya Azam Bwana Said Salim Bakhresa ambapo alimueleza waziri mkuu nia yake yakuendelea kujenga viwanda zaidi vya kusindika matunda na chakula mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa waziri mkuu magogoni Dar es salaam leo.
mkuu pale changu ni changuTulikua nae maeneo flani hapa dodoma tulika nyama choma
Nani anataka kukaa Dodoma? Omba omba wenyewe wamekimbia Dodoma sembuse yeye?
Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Wahindi kimwili wapo Tanzania lakini moyoni wapo India.Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Wewe mwenyewe utakuwa na sifa hizo za wambea bilashaka,imekuwajekuwaje umeacha kazi wanazofanya vijana wa kiasia ukaja humu kufungua uzi huu wa kimbea ukausoma na kucomment?Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Mtu mwenye sifa ya akili kubwa atakuwa amemuelewa mtoa mada vizuri tu ila sidhani wewe kwa swali lako kama utakuwa na hiyo sifa adhimu ya kumuelewa mtoa mada.Nikusaidie japo kidogo unajua kuwa kwa sasa makazi ya Wairi mkuu yako Dodoma?Unajua kuwa Waziri Mkuu alisema kwa sasa anayemuhitaji amfuate Dodoma?Sasa hoja ya mtoa mada imejengwa hapo?We jamaa huwa natafakari nashangaa Sana nashindwa kukuelewa Nia ya maadA zako.. Kama Kuna kipindi ulikuwa unaandika maadA za kumtaka Rais awape pole wahanga WA tetemeko KIUFUPI maadA zako zipo kimbeya mbeya Sana acha leo nikwambie.. Sijui unakuwaga unawaza nini Sasa Kwa mfano unatuuliza sisi kama waziri mkuu kaenda dodoma.. JE KWA MFANO KAMA JIBU NI KUWA NDIO AMESHAREJEA,, MANTIKI YA SWALI LAKO ITAKUWA NI NINI? AU HATA KWA MFANO JIBU LIKAWA HAJARUDI BADO HAINA MAANA. LETE MAADA ZENYE KUSHIBA KAKA.. NAIMANI SIJAKUTUKANA NIMEKUREKEBISHA NAFURAHI UKIBADILIKA