Hivi Waziri Mkuu amesharudi Dodoma?

Hivi Waziri Mkuu amesharudi Dodoma?

Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Vivyo hivyo huwezi kumuona muhindi akijiunga na Jeshi la Wananchi JWTZ ili kuweza kuilinda na kulitumikia Taifa lake ( kama ni kweli hawa ni wenzetu)

Kwa sababu kule India kuna jeshi na wanajeshi ni wahindi, inakuwaje hawa mnaoamini ni Watanzania wenzetu hakuna hata muhindi mmoja jeshini?
 
Kiwanda cha magari wapi dar ama Dodoma. Fuatilia ujue ukweli na kama hunauhakika ni vyema ukaendelea kufuatilia
 
Unauliza PM kurudi, Mbona JPili mwandani wako alivyochelewa kurudi hukumuuliza nani amekichelewesha. Ya kwako yamekushinda unataka kujua ya PM? Shukuru Mungu moderator amekusaidia kukufichia jina Lako ambalo wengi wanakufahamu. Natamani nikutaje hahahaha
 
Kaja Dar kuleta zawadi na kuwaambia utamu wa zabibu atarudi kulepeka dawa za vichaa pale milembe maana taarifa iliyotoka kila walipo Watz 4 basi mmoja kichaa na nahisi atarudi na kufuatana na yule wa buguruni pale akapewe matibabu.
 
Bado yuko Dodoma lazima azunguke vijiji vyote kutambulishwa ili asije akadhaniwa ni mnyonya damu, maana inaonekana wakazi wa huko wote wanafahamiana hawana imani na mgeni.
Hahahahha hii nouma sana
 
Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Kwa hiyo wewe ni kijana wa Kiasia au Kitanzania. Kwa hiyo wewe hujanunua bundle au umepewa bure husije kuwa maskini?
 
Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Huyo kijana wa Kitanzania mwenye asili ya Asia hana uchungu na nchi. Kwanza wengi wao yakibuma wanauraia wa nchi mbili. Saa ngapi awazie Qaziri Mkuu anendeleaje badala ya kutuibia. Siku hizi ndiyo makanjanja wa kutokutoa EFD receipt. Ukiidai wachungu kama nini.

Ushawaona hata jeshini hawa? Ama Polisi ama Magereza?
 
Back
Top Bottom