Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,676
- 272,523
Mjomba unajua kuna watu wanadhani sisi ni wenye uwezo mdogo sana , lakini nakuhakikishia watakuja kutukumbuka .Kama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?