Hivi Waziri Mkuu amesharudi Dodoma?

Vivyo hivyo huwezi kumuona muhindi akijiunga na Jeshi la Wananchi JWTZ ili kuweza kuilinda na kulitumikia Taifa lake ( kama ni kweli hawa ni wenzetu)

Kwa sababu kule India kuna jeshi na wanajeshi ni wahindi, inakuwaje hawa mnaoamini ni Watanzania wenzetu hakuna hata muhindi mmoja jeshini?
 
Kiwanda cha magari wapi dar ama Dodoma. Fuatilia ujue ukweli na kama hunauhakika ni vyema ukaendelea kufuatilia
 
Unauliza PM kurudi, Mbona JPili mwandani wako alivyochelewa kurudi hukumuuliza nani amekichelewesha. Ya kwako yamekushinda unataka kujua ya PM? Shukuru Mungu moderator amekusaidia kukufichia jina Lako ambalo wengi wanakufahamu. Natamani nikutaje hahahaha
 
Kaja Dar kuleta zawadi na kuwaambia utamu wa zabibu atarudi kulepeka dawa za vichaa pale milembe maana taarifa iliyotoka kila walipo Watz 4 basi mmoja kichaa na nahisi atarudi na kufuatana na yule wa buguruni pale akapewe matibabu.
 
Bado yuko Dodoma lazima azunguke vijiji vyote kutambulishwa ili asije akadhaniwa ni mnyonya damu, maana inaonekana wakazi wa huko wote wanafahamiana hawana imani na mgeni.
Hahahahha hii nouma sana
 
Kwa hiyo wewe ni kijana wa Kiasia au Kitanzania. Kwa hiyo wewe hujanunua bundle au umepewa bure husije kuwa maskini?
 
Huyo kijana wa Kitanzania mwenye asili ya Asia hana uchungu na nchi. Kwanza wengi wao yakibuma wanauraia wa nchi mbili. Saa ngapi awazie Qaziri Mkuu anendeleaje badala ya kutuibia. Siku hizi ndiyo makanjanja wa kutokutoa EFD receipt. Ukiidai wachungu kama nini.

Ushawaona hata jeshini hawa? Ama Polisi ama Magereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…