Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,639
- 164,780
Kama hajarudi sijui atakuwa analipwa perdiem?Siasa siasa na mbwembwe za magazeti
Wazili mkuu halagi nyamaTulikua nae maeneo flani hapa dodoma tulika nyama choma
ushawaona wa Asia kwenye misafara ya kampeni?, wabongo lazima waulize maana ndio walio iweka serikali madarakani.....Huwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Pengine ulikuwa na hoja nzuri, lakini kuwatumia watanzania wenye asili ya Asia kujenga hoja yako umeharibu mkuuHuwezi kumsikia kijana wa Tanzania mwenye asili ya Asia akiuliza ratiba ya Waziri mkuu. Lakini kijana wa kiswahili atakopa hela anunue bundle ili apige umbea wakati huo huo analalamika maisha magumu. Hapo tunapata jibu kwanini wahindi hawalalimiki maisha magumu licha ya kuwa na uwakilishi mdogo kwenye ajira za serikali, bunge na hata kwenye safu za uongozi. Ukweli utatuweka huru, umbea na ujinga ni hatari.
Swali zuriKama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko Dar kwa majukumu mengine?
We jamaa huwa natafakari nashangaa Sana nashindwa kukuelewa Nia ya maadA zako.. Kama Kuna kipindi ulikuwa unaandika maadA za kumtaka Rais awape pole wahanga WA tetemeko KIUFUPI maadA zako zipo kimbeya mbeya Sana acha leo nikwambie.. Sijui unakuwaga unawaza nini Sasa Kwa mfano unatuuliza sisi kama waziri mkuu kaenda dodoma.. JE KWA MFANO KAMA JIBU NI KUWA NDIO AMESHAREJEA,, MANTIKI YA SWALI LAKO ITAKUWA NI NINI? AU HATA KWA MFANO JIBU LIKAWA HAJARUDI BADO HAINA MAANA. LETE MAADA ZENYE KUSHIBA KAKA.. NAIMANI SIJAKUTUKANA NIMEKUREKEBISHA NAFURAHI UKIBADILIKAKama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasimi hivi karibuni au bado tuko Dar kwa majukumu mengine?
Na ifahamike waziri mkuu Ana majukumu mengi. Anaweza asiwe Dom na bado akawa anafanya kazi zake. Kama Kuna kitu unakijua basi kiwasilishe moja Kwa moja na sio unatuuliza maswali ambayo hayaendelezi michango yenye akili.We jamaa huwa natafakari nashangaa Sana nashindwa kukuelewa Nia ya maadA zako.. Kama Kuna kipindi ulikuwa unaandika maadA za kumtaka Rais awape pole wahanga WA tetemeko KIUFUPI maadA zako zipo kimbeya mbeya Sana acha leo nikwambie.. Sijui unakuwaga unawaza nini Sasa Kwa mfano unatuuliza sisi kama waziri mkuu kaenda dodoma.. JE KWA MFANO KAMA JIBU NI KUWA NDIO AMESHAREJEA,, MANTIKI YA SWALI LAKO ITAKUWA NI NINI? AU HATA KWA MFANO JIBU LIKAWA HAJARUDI BADO HAINA MAANA. LETE MAADA ZENYE KUSHIBA KAKA.. NAIMANI SIJAKUTUKANA NIMEKUREKEBISHA NAFURAHI UKIBADILIKA
Yuko dar anakula bata hataki kukaa kwa wagogo
vumbi la dodoma la nini bhana,matonya mwenyewe alimgomea.makambaNani anataka kukaa Dodoma? Omba omba wenyewe wamekimbia Dodoma sembuse yeye?
Asante sana kwa majibu mazuri.Karudi Dodoma na kama hajarudi basi kwa imani atarudi dodoma