Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,190
- 162,699
Kama sikosei, tarehe 7 ya mwezi huu, Waziri Mkuu alikwenda Dar-es-salaam na kama sikose, pia alikuwepo kwenye tukio la Rais kuongea na mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilsha nchi yetu katika mataifa mbalimbali duniani.
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasmi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?
Nachoomba kujua ni je ,mh.Waziri Mkuu, amesharejea Dodoma alikohamia rasmi hivi karibuni au bado tuko yuko Dar kwa majukumu mengine?