Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,013
- 1,634
Kwa kweli huwa mnanichanganya kila nikija dar likitokea tukio hata kama ni dogo lazima watu wajae mfano hata mtu aanguke na baiskeli watu lazima wakusanyike watu wakigombana kidogo lazima watu wakusanyike tatizo hamna kazi za kufanya au ni umbea cha ajabu ni wanawake na wanaume. Najiuliza hivi mnafanya kazi saa ngapi? Maana matukio ni mengi