Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,863
Mkataba wa TAZARA kati ya tz na Zambia ni moja ya mikataba mibovu katika ushirikiano wa aina yoyote ile. Mkataba huo unasema kuwa mkurugenzi wa tazara lazima awe toka Zambia na msaidizi ndo awe mtanzania. Hivi waliokuwa wanatia sain zao hawakuona upuuzi huu? Hili nalifananisha na ile sheria ya kikoloni kuhusu matumizi ya mto Nile kuwa Misri ndo awe mtumiaji mkubwa.
maskini sijui alotuloga nani kila mikataba yote mibovu. au wakenya wametuloga
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV, TAZARA wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya Kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza TAZARA isipokua Wazambia tu?
Kinachonisumbua hata mimi ni hiki, kwenye migodi imeonekana sisi hutuna ujuzi wa mambo ya madini so wageni lazima waje, hivi Wazambia wamepatia wapi ujuzi wa mambo ya Reli kutuzidi sisi? Kwa watu ambao tumetembea kidogo tu kwa majirani zetu, ni ngumu sana kwa mgeni kupata kibali cha kazi Kenya, Congo hapo ni ngumu sana kuongezewa work permit ya mara ya pili mara baada ya wewe kumaliza mkataba wako, mara nyingi hua ni miaka 2. Nitashangaa hili kama Lumumba B7 FC kama hata hili wataiunga mkono serikali!
Haya ndiyo matatizo ya kuanza kulalamika badala ya kuutafuta kwanza ukweli.
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV, TAZARA wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya Kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza TAZARA isipokua Wazambia tu?
!
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV, TAZARA wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya Kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza TAZARA isipokua Wazambia tu?
Kinachonisumbua hata mimi ni hiki, kwenye migodi imeonekana sisi hutuna ujuzi wa mambo ya madini so wageni lazima waje, hivi Wazambia wamepatia wapi ujuzi wa mambo ya Reli kutuzidi sisi? Kwa watu ambao tumetembea kidogo tu kwa majirani zetu, ni ngumu sana kwa mgeni kupata kibali cha kazi Kenya, Congo hapo ni ngumu sana kuongezewa work permit ya mara ya pili mara baada ya wewe kumaliza mkataba wako, mara nyingi hua ni miaka 2. Nitashangaa hili kama Lumumba B7 FC kama hata hili wataiunga mkono serikali!
Kama tuna mameneja wazuri kwanini wasiwapeleke kule TRC ambako kuna hali mbaya zaidi pia hakuna muingiliano na wageniSuala la Tazara, tatizo liko katika mabubaliano ya wali, ndio yaliweka kipengele cha kuwa management lazima itoke zambia, hasa hasa mananagi director, nadhani Mh. Mwakwembe kuna wakati alilizungumzia hilo, sijui wamefikia wapi
Hivi kama kweli tunania njema na reli kwanini tusishughulikia TRC kwanza ndipo tuanze kuanglia mikataba ya wakoloniIsitoshe nao wazambia wamefeli na reli imekufa. Bora wangeuangalia mkataba upya na MOU ya uendeshaji iweke uongozi wa mzunguko with agreed tenure.
Suala la Tazara, tatizo liko katika mabubaliano ya wali, ndio yaliweka kipengele cha kuwa management lazima itoke zambia, hasa hasa mananagi director, nadhani Mh. Mwakwembe kuna wakati alilizungumzia hilo, sijui wamefikia wapi
nilikua naangalia taarifa ya habari itv, tazara wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza tazara isipokua wazambia tu?
Kinachonisumbua hata mimi ni hiki, kwenye migodi imeonekana sisi hutuna ujuzi wa mambo ya madini so wageni lazima waje, hivi wazambia wamepatia wapi ujuzi wa mambo ya reli kutuzidi sisi? Kwa watu ambao tumetembea kidogo tu kwa majirani zetu, ni ngumu sana kwa mgeni kupata kibali cha kazi kenya, congo hapo ni ngumu sana kuongezewa work permit ya mara ya pili mara baada ya wewe kumaliza mkataba wako, mara nyingi hua ni miaka 2. Nitashangaa hili kama lumumba b7 fc kama hata hili wataiunga mkono serikali!