Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,509
- 6,862
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV, TAZARA wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya Kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza TAZARA isipokua Wazambia tu?
Kinachonisumbua hata mimi ni hiki, kwenye migodi imeonekana sisi hutuna ujuzi wa mambo ya madini so wageni lazima waje, hivi Wazambia wamepatia wapi ujuzi wa mambo ya Reli kutuzidi sisi? Kwa watu ambao tumetembea kidogo tu kwa majirani zetu, ni ngumu sana kwa mgeni kupata kibali cha kazi Kenya, Congo hapo ni ngumu sana kuongezewa work permit ya mara ya pili mara baada ya wewe kumaliza mkataba wako, mara nyingi hua ni miaka 2. Nitashangaa hili kama Lumumba B7 FC kama hata hili wataiunga mkono serikali!