Hivi watanzania tumelogwa!

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
7,509
6,861
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV, TAZARA wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya Kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza TAZARA isipokua Wazambia tu?

Kinachonisumbua hata mimi ni hiki, kwenye migodi imeonekana sisi hutuna ujuzi wa mambo ya madini so wageni lazima waje, hivi Wazambia wamepatia wapi ujuzi wa mambo ya Reli kutuzidi sisi? Kwa watu ambao tumetembea kidogo tu kwa majirani zetu, ni ngumu sana kwa mgeni kupata kibali cha kazi Kenya, Congo hapo ni ngumu sana kuongezewa work permit ya mara ya pili mara baada ya wewe kumaliza mkataba wako, mara nyingi hua ni miaka 2. Nitashangaa hili kama Lumumba B7 FC kama hata hili wataiunga mkono serikali!
 
Mkataba wa TAZARA kati ya tz na Zambia ni moja ya mikataba mibovu katika ushirikiano wa aina yoyote ile. Mkataba huo unasema kuwa mkurugenzi wa tazara lazima awe toka Zambia na msaidizi ndo awe mtanzania. Hivi waliokuwa wanatia sain zao hawakuona upuuzi huu? Hili nalifananisha na ile sheria ya kikoloni kuhusu matumizi ya mto Nile kuwa Misri ndo awe mtumiaji mkubwa.
 
Ndio nauliza, hivi sisi tumelogwa!? Akili gani hi tulionayo?
 
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV, TAZARA wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya Kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza TAZARA isipokua Wazambia tu?

Kinachonisumbua hata mimi ni hiki, kwenye migodi imeonekana sisi hutuna ujuzi wa mambo ya madini so wageni lazima waje, hivi Wazambia wamepatia wapi ujuzi wa mambo ya Reli kutuzidi sisi? Kwa watu ambao tumetembea kidogo tu kwa majirani zetu, ni ngumu sana kwa mgeni kupata kibali cha kazi Kenya, Congo hapo ni ngumu sana kuongezewa work permit ya mara ya pili mara baada ya wewe kumaliza mkataba wako, mara nyingi hua ni miaka 2. Nitashangaa hili kama Lumumba B7 FC kama hata hili wataiunga mkono serikali!

Jibu nadhani unalo .Hatuwezi .
Hii nchi sio ya kwetu wenyewe.
Ni muungano wa dunia nzima kwa muundo kama wa serikali mbili vile.Mfano ukienda china shiria inafuatwa . Wachina wakija Tz wanazaa mpaka na wake za watu huko mitaani. Halikadhakika india,Pakstani,Saud Arabia n.k.

Kwa hiyo sio ajabu kuona mgeni akija na kufanya kazi anayotaka na wenyeji kuendelea kuokota chupa za maji
 
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV, TAZARA wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya Kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza TAZARA isipokua Wazambia tu?

!

Mkataba wa uendeshaji wa TAZARA ni kuwa laazima TOP MANGER atoke ZAMBIA>
 
aliyeturoga kwenye soka ndiye yuleyule akaturoga na maeneo mengine,ni yuleyule aliyewahi kusema tanzania tumekuwa kama kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajinyolea tu.
 
Suala la Tazara, tatizo liko katika mabubaliano ya wali, ndio yaliweka kipengele cha kuwa management lazima itoke zambia, hasa hasa mananagi director, nadhani Mh. Mwakwembe kuna wakati alilizungumzia hilo, sijui wamefikia wapi

Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV, TAZARA wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya Kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza TAZARA isipokua Wazambia tu?

Kinachonisumbua hata mimi ni hiki, kwenye migodi imeonekana sisi hutuna ujuzi wa mambo ya madini so wageni lazima waje, hivi Wazambia wamepatia wapi ujuzi wa mambo ya Reli kutuzidi sisi? Kwa watu ambao tumetembea kidogo tu kwa majirani zetu, ni ngumu sana kwa mgeni kupata kibali cha kazi Kenya, Congo hapo ni ngumu sana kuongezewa work permit ya mara ya pili mara baada ya wewe kumaliza mkataba wako, mara nyingi hua ni miaka 2. Nitashangaa hili kama Lumumba B7 FC kama hata hili wataiunga mkono serikali!
 
Isitoshe nao wazambia wamefeli na reli imekufa. Bora wangeuangalia mkataba upya na MOU ya uendeshaji iweke uongozi wa mzunguko with agreed tenure.
 
Suala la Tazara, tatizo liko katika mabubaliano ya wali, ndio yaliweka kipengele cha kuwa management lazima itoke zambia, hasa hasa mananagi director, nadhani Mh. Mwakwembe kuna wakati alilizungumzia hilo, sijui wamefikia wapi
Kama tuna mameneja wazuri kwanini wasiwapeleke kule TRC ambako kuna hali mbaya zaidi pia hakuna muingiliano na wageni
 
Isitoshe nao wazambia wamefeli na reli imekufa. Bora wangeuangalia mkataba upya na MOU ya uendeshaji iweke uongozi wa mzunguko with agreed tenure.
Hivi kama kweli tunania njema na reli kwanini tusishughulikia TRC kwanza ndipo tuanze kuanglia mikataba ya wakoloni
 
Suala la Tazara, tatizo liko katika mabubaliano ya wali, ndio yaliweka kipengele cha kuwa management lazima itoke zambia, hasa hasa mananagi director, nadhani Mh. Mwakwembe kuna wakati alilizungumzia hilo, sijui wamefikia wapi

Aisee, well labda ningefahamishwa, ni kwanini walifikia uamuzi huo? Kumbe kulogwa kwetu kumeanzia mbali sana, hi kitu si ilikua commisioned as za mwalimu? Najaribu tu kujiuliza, hivi sisi tunaweza nini hasa!? Nadhani itabidi hata Ikulu nayo tufikie maamuzi magumu, nayo tutafute manager mzuri pale au kama vipi tubinafsishe tu!
 
nilikua naangalia taarifa ya habari itv, tazara wana mgomo, miongoni mwa mambo wanayogomea ni pamoja na kua na management ya kizambia kwa muda mrefu. Swali wanalouliza ni hili, hivi hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuongoza tazara isipokua wazambia tu?

Kinachonisumbua hata mimi ni hiki, kwenye migodi imeonekana sisi hutuna ujuzi wa mambo ya madini so wageni lazima waje, hivi wazambia wamepatia wapi ujuzi wa mambo ya reli kutuzidi sisi? Kwa watu ambao tumetembea kidogo tu kwa majirani zetu, ni ngumu sana kwa mgeni kupata kibali cha kazi kenya, congo hapo ni ngumu sana kuongezewa work permit ya mara ya pili mara baada ya wewe kumaliza mkataba wako, mara nyingi hua ni miaka 2. Nitashangaa hili kama lumumba b7 fc kama hata hili wataiunga mkono serikali!

c.c. msalani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom