Hivi watanzania mnataka siasa za aina gani?

Hivi watanzania mnataka siasa za aina gani?

Ni sawa rais anaweza kupatikana kwa kura halali na pia akaongozwa na katiba iliyobora lakini hivyo vyote hamvimtoi kwenye haiba yake ambayo itasadifu mapenzi kwa wananchi kutokana na siasa zake

Wewe kama mwananchi unapenda rais awe na siasa za namna gani mpole mstaarabu na mwenye kufanya mambo kwa itifaki au mkali mkali mtumbuaji kwenye majukwaa?
Mimi sio muumini wa mbwembwe za rais, ni muumini wa sheria na katiba.
 
Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani?

Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu

Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki?

Hii inahusu zaidi chama kilichopo madarakani mnataka kiwe na siasa za namna gani mnazozipenda?
Hatutaki siasa bali tunataka viongozi ambao ninmatakwa ya wananchi na sio matakwa ya serikali nadhani umeelewa we ******
 
Back
Top Bottom