Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,603
- 9,161
Haki ina rangi gani?Tunataka siasa za haki
Haki ina rangi gani?Tunataka siasa za haki
Swali la kijinga kabisa😬 hakuna kiongozi wa bongo ambaye amewahi kuwa nguli wa siasa, labda kidogo om boy wa msoga.Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani?
Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki?
Hii inahusu zaidi chama kilichopo madarakani mnataka kiwe na siasa za namna gani mnazozipenda?
Firm but a servant at heart!Huyo unaemtaka unataka awe na haiba gani ya uongozi?
Mstaarabu asie na sifa na mwenye hekima au mkali mkali mwenye misifa na kutumbua watu ovyo bila itifaki?
Tofauti ni matumizi ya akili. Siasa za China zinawaendeleza wachina (taifa) kuwa washindani wazuri kiuchumi na teknolojia duniani wakati zile za kwetu zinafanya taifa kuendelea kuwa tegemezi (kuendeleza, umachinga, uchuuzi kwa kutegemea wachina na mataifa mengine hata kwa uzalishaji wa vitu vidogo vidogo).Siasa zetu sasa hivi zina tofauti gani na za China? Rafiki kipenzi wa CCM ni chama cha kikomunist cha China. Ama kiini macho cha vyama vingi kimekuziba macho mkuu?
Sio lazima iwe ccm hapa nimemaanisha chama tawala chochote je kiongozi mkuu ama rais wasaidizi wake wawe na haiba gani kati ya hizo mbiliHizo siasa za kistaarabu kutoka kwa hawa ccm?
Maana nitauliza ni kipi kinafanya wasiwe wastaarabu?
Wananchi wanachotaka ni nchi kupata maendeleo umaskini kupungua
Tuachane na upinzani tuongelee chama tawala mfano kikiwa ni chadema sasa bila kudili na upinzani viongoz wakuu wawe na haiba gani mnayoipenda?Ameteka watu kibao kama Heche, Kibao, Soka, Dr Godfrey Malisa, Polepole, Chaula na wengine wengi.
Kila mkuu wa nchi na haiba yake mwingine mpole mstaarabu na mwingine mkali mkali je ni yupi siasa zake zinawavutia?Swali lako lakijinga/kifala na haliwezi kujibiwa na waTanzania wote.
Mpaka leo hujui maana ya siasa ni nini??!
Mkuu tuwaulize kwanza; Maana ya siasa ni nini? Kumbe kuna siasa ya ustaarabu na isiyo ya kistaarabu??
Hadi mnataka kuandamana maana hamjaridhishwa na siasa za viongozi walio madarakani, je mnataka wawe wanafanya nini hasa mkuu wa nchi ili mumkubali siasa zake?Tunataka Haki na utawala wa sheria , kama sheria tuliyokubaliana inasema kuandamana ni haki kikatiba, tofauti a hapo ni vita
Tuachane na upinzani tuongelee chama tawala mfano kikiwa ni chadema sasa bila kudili na upinzani viongoz wakuu wawe na haiba gani mnayoipenda?
Raisi na viongozi wengine kabla hawajaanza kazi huapa kulinda katiba na sheria, wafate hivyo viapo vyao. Hayo ya ukali sijui kutumbua sijui upole yote hayana maana, wao wafate kile walichoapa. Kwenye katiba hakuna sehemu waneambiwa wawe watumbuaji au wawe wapoleSio lazima iwe ccm hapa nimemaanisha chama tawala chochote je kiongozi mkuu ama rais wasaidizi wake wawe na haiba gani kati ya hizo mbili
Ukali ukali na kutumbua viongoz mbele ya kadamnasi au mstaarabu mfuata protocol na itifaki
Hili swali lako Ina maana wewe huoni kama kuna tatizo lolote katika nchi hii?Hadi mnataka kuandamana maana hamjaridhishwa na siasa za viongozi walio madarakani, je mnataka wawe wanafanya nini hasa mkuu wa nchi ili mumkubali siasa zake?
Tunataka utawala wa sheria na sio utawala wa utashi wa kiongozi. Lakini kiongozi sharti awe amepatikana kwa ridhaa ya wananchi, sio maagizo ya kikundi kijiitacho system.Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani?
Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki?
Hii inahusu zaidi chama kilichopo madarakani mnataka kiwe na siasa za namna gani mnazozipenda?
Wanataka siasa za kisanii za bwana yule mwendazake,Hili swali linapaswa kujibiwa na watanzania wote, hivi mnataka siasa za aina gani?
Mnataka siasa za kistaarabu zisizo na unafiki na ukali hasa kutoka viongozi wa juu
Au mnataka siasa za misifa na ukali ukali wa kutumbuana kwenye kadamnasi bila kufuata itifaki?
Hii inahusu zaidi chama kilichopo madarakani mnataka kiwe na siasa za namna gani mnazozipenda?
Sawa, je baada ya kupatikana hivyo vyote ulivyovitaja haiba ya kiongozi mkuu yaani raisi iwe ya namna gani katika siasa, awe mpole mstaarabu au mkali mkali mtumbuaji wa kwenye majukwaa?Watanzania wanahitaji mabadiliko kuanzia katiba,tume huru,haki za msingi za mwananchi kuheshimiwa, sio mtu anateka na kuua watu kama sisimizi halafu anachukulia poa
Ni sawa rais anaweza kupatikana kwa kura halali na pia akaongozwa na katiba iliyobora lakini hivyo vyote hamvimtoi kwenye haiba yake ambayo itasadifu mapenzi kwa wananchi kutokana na siasa zakeTunataka utawala wa sheria na sio utawala wa utashi wa kiongozi. Lakini kiongozi sharti awe amepatikana kwa ridhaa ya wananchi, sio maagizo ya kikundi kijiitacho system.