Hivi Watanzania mnataka nini?

Hivi Watanzania mnataka nini?

Toka hapa wewe mleta mada na li Myweather laki,halina lolote sifa tu.Watanzania wapo hoiiiiiiii,ni vile tu AK47 hakuna mtaani.

Pia nature ya Uhuru unatugharimu sn,tungepata kwa mtutu muda huu mtu asingekuja na kujifanya Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani Pote palipo na machafuko ya Ndani chanzo Baadhi kukosa uzalendo uzalendo ni tunda la Moyo wa Mwanadamu mwenye utu,Busara,Heshima, nk Watanzania penye kushikamana tushikamane kwa dhati ,penye kukosoa tukosowe kwa staha tuepuke kuigawa Nchi yetu hata tusipokula tukashinda njaa huku tukipigania dhuruma tulizofanyiwa miaka Mungu ,Mungu atatusaidia hatutaisikia njaa Tuungane Tanzania ni yetu sote na kila mmoja amkosoe mwenzake kwa staha kubwa ,Amani yetu Tuilinde kwa kuizuia midomo yetu isitumike kutugawa bila kujali Imani na itikadi zetu Ee Mungu Uibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sisi ni wanadamu tunatakiwa tupewe ushirikiano na heshima, sio kila mkisimama majukwaani mtutukane na kutusimanga, viongoz ndio wamekuwa mifano ya kuwashambulia watu kwa maneno machafu, wawe na busara za kiuongoz ili waheshimiwe na kupewa support.

Halaf sio lazima kila mtu asapot kila anachofanya kiongoz, hyo ni personal issue.

Wao watumie kwa busara madaraka yao ili nasisi tutumie kwa busara uhuru wetu wa kuongea, kiongoz ndo mfano, sisi tunawaiga wao tu so usilalame sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ninyi ni akina nani mnaotukanwa? Liweke wazi hili pia.... Tulihoji, mwenye hekima kuambiwa ana hekima sio tusi ujue ndo ukweli wenyewe, na hata kinyume chake ni ukweli pia sio tusi.. Swali ninyi ni akina nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu punguza hasira utapata maradhi ya moyo bure wacha movie iendelee
 
Vitabu vitakatifu vilituasa kuwa na kiasi kwa kila jambo, ndio maana hata wana wa Israel walidai mfalme baada ya kuwa chini ya Majaji/waamuzi kwa muda mrefu, wenzetu wazungu hili wanalijua ndio maana hata vyama hutawala kwa kupishana, kupitia mada yako kuna mambo yafuatayo:
1.Watanzania yawezekana wameuchoka mfumo wa sasa

2.Inawezekana watawala WANATENDA bila KIASI, kwa kawaida ukitenda bila kiasi jambo lolote hata liwe zuri binadamu ana tabia ya kuchoka

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfumo wa kisheria tuliojiwekea, ni lazima Rais atimize miaka mitano, kama hajatenda makosa yaliyo ainishwa kisheria na hatua za kisheria hazijachukuliwa, ktk kipindi Rais wa Tz ndiye Mkuu wa majeshi yote, Mkuu wa nchi, mkuu wa serikali, Mbunge na pia ni jaji wa mahakama ya rufaa.

Kama mlikuwa hamyajui haya, ndio tatizo mnataka afanye kinyume na sheria ya nchi kwa kulinganisha wafanyavyo Marais wengine wa nchi nyingine zenye sheria nyingine.

Na nionavyo, kwa Rais mwenye hekima na nia thabiti kwa watu wake, hii katiba iko vizuri karibia kila ibara,,,, tatizo ni ibara inayogawanyisha hii Jamhuri ktk sehemu mbili, ilitakiwa isiwepo na isomeke "Tanzania ni nchi moja, JMT na serikali moja, bunge moja, rais mmoja " I mean umoja ktk kila kitu ktk muungano.
 
Toka hapa wewe mleta mada na li Myweather laki,halina lolote sifa tu.Watanzania wapo hoiiiiiiii,ni vile tu AK47 hakuna mtaani.

Pia nature ya Uhuru unatugharimu sn,tungepata kwa mtutu muda huu mtu asingekuja na kujifanya Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jingine hili hapa ......yaani mataahira yapo mengi huku duniani.......sasa ndio umeongea nini hapo.....mbona kama wewe ni kweli unajua kukamata mtutu haukujitolea kwenda kusaidia kulinda amani hapo kongo tu sio mbali uonyeshe ni jinsi gani una hiyo jeuri ya kupambana kijeshi.......bure kabisa kicha cha gia box mbovu.......

SONY Xperia Z5 Premium
 
Akili zikishazoea kuigilizia zinakosa ubunifu na uwezo wa kupambanua.ALIYE WAAMBIA DENI LOTE NI LAZIMA LILIPWE KWA WAKATI MMOJA NI NANI.
Kabisa yaaani......kama wao walituibia kwa miaka 10 na zaidi na sisi watatulipa kidogo kidogo cha muhimu ni walipe hizo hela

SONY Xperia Z5 Premium
 
Kweli ndugu

2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
 
Hahahahaaaaaa!! Maelezo meeeengi halafu kinyesi kitupu,
Ntakujibu hivi, pamoja na kwamba watanzania hawaelewi wana taka nini lakini hawakuwa wakitaka kiongozi mnafiki na mkandamizaji wa demokrasia hahhaaaaa anaongea kwa uchungu wa hali ya juu utadhani kweli anaumia toka rohoni lakini kwa matendo yake tu kumbe anawahadaa wajinga.

Kwahii postbyako inaonekana kuna sehemu wamekubana, pole wangu, magu kaza kamba viuno vinaanza kulegea fyuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari zenu wahenga!

Naandika hapa lakini mikono inatetemeka kwa hasira niliyonayo baada ya kuingia mitandao ya kijamii na kuona dhihaka kubwa inayofanywa na watu ati wanaojiita ni wazalendo kumbe ni wanafiki sijapata kuona.

Tukirejea miaka kadhaa hapo nyuma kabla ya ujio wa mheshimiwa raisi john pombe magufuri, raia walikuwa na malalamiko kadha wa kadha ambayo mengi yao ukiyatazama yalionyesha hali ya wao kukata tamaa kutokana na tabia za viongozi wa wakati huo kufanya kila aina ya ufisadi wakilifilisi taifa rasilimali zake kwa kuziuza kwa bei ya kutupa kwa makampuni ya nje bila hata huruma.

Kuna hata baadhi ya hawa hawa wanafiki walifikia hatua ya kusema hatokuja kutokea raisi atakayethubutu kutaka kudai au kurejesha thamani ya rasilimali zetu zilizopotezwa na hawa viongozi wachache wenye ulafi na tamaa za hali ya juu......

Leo hii amekuja kidume.....baba wa taifa part 2, stelingi.....bulldozer ......field marshal, askari shupavu, Jembe, simba dume, kisu cha madini ya chuma cha pua, kambale ndani ya bwawa la vidagaa vibwegebwege.......mheshimiwa raisi john pombe joseph magufuri .......ameamua kufuta lawama kwa kujitoa muhanga na kupambana na wakoloni.....wanaume suruali ambao kazi yao ni kututumua sauti tu ila vitendo ni sifuri kupita maelezo kazi yao nikuwapigia debe mabwana zao wa ulaya utadhani mliambiwa wale ni baba zenu wadogo.......pumbavu sana......

Hivi umeona wapi baba yako anapokuwa kwenye vita na jirani wewe unahamia kwa jirani.......acha ujinga wewe.......hivi magufuri anavyosema hizo bilioni $190 ni aliamka akazitunga kichwani........hivi ninyi tokea miaka yote ile wanachukua madini na kuondoka nayo..... kodi hailipwi si ndio ninyi mlikuwa mnasema kampuni zinakuja bongo zinapiga hela hazilipi kodi zinasepa kimya kimya....sio ninyi nauliza.......WEWE SI NAKUUUULIZA........LIONE KWANZA
....mnatia hasira kinyama wabongo yaaani mnakera sana hamjui tu. Hivi mnadhani sisi hatuna wataalamu wa kodi hapa Tanzania ambao wanaweza kukokotoa kodi na kutoa majibu ya uhakika ya malimbikizo ya kodi na madeni ambayo yameambatanishwa na riba ya kodi......hivi wanavyosema jamaa walikuwa wanachimba bure mlidhani ni nini......mchanga wa ujenzi wa nyumba.....si nawaliza ninyi mlijua wanachimba nini huko migodini?!

Tangu lini mzungu akatia nguvu na uwekezaji sehemu ambapo hakuna tija kwake.......sehemu ambapo hapatamlipa......hivi mnafahamu bei ya soko ya madini dhahabu kwenye masoko ya kimataifa huko duniani

............hivi mnaakili gani nyie watu kutetemekea watu kibwege bwege hadi mnaonyesha dharau za wazi wazi kwa raisi wenu kisha mnamtazama na kumchukulia kirahisi rahisi kuwa anakosea au hana busara kwa anachokifanya.......?!

Ama kweli mfadhili mbuzi utakula mchuzi yaaache matanzania haya yenye mavichwa na akili za kondoo yatawaliwe na wazungu milele amina........

Mimi nasemaje ningekuwa magufuri ningesema sasa nisikie mtu kaongea shit kuhusu mimi kuwadai acacia.....nakuweka ndani hadi nimalize uongozi mbwa kabisa........hivi nyie hawa wazungu wamewapa nini hadi mnawaona ni miungu wenu wakuwaogopa na kuwasikiliza kila wanachosema....hivi nyie mnajua huko duniani sisi ni kituko kwasababu ya ukondoo......nenda marekani pale fungua hata banda la chipsi uone balaa lake tra wa kule watakachokufanya......watakudai hadi kodi ya nywele kenge wewe.......

Sasa wao ni wakina nani waje hapa na kuchukua madini kirahisirahisi kisha wasepe kama as if nchi ni ya baba yao......pumbavu sana.......acheni upuuzi ninyi raia......

Kama hauna wazo la kusappot juu ya hili lililotokea kaaa kimya fanya maisha yako kama wengine tunavyofanya......magufuri hadai hizo pesa ili akale na familia yake anadai kwaajiri yako na mimi. Hata kama walioweka rehani hayo madini ni viongozi ambao yeye alikuwa nao serikali moja na chama kimoja mnaaanzaje kumwambia yeye anahusika......majitu majinga kabisa ninyi.....hivi ni lini mlisikia raisi magufuri alishawahi kuwa kwenye wizara au hata kamati ya wizara au hata tume ya wizara ya nishati na madini......ni lini yeye alihusika kwenye kutia sahihi hiyo mikataba......hivi wakati wabunge kama mh. Zitto kabwe, mh. Mnyika, mhm kafulila, na wengineo walipokuwa wakilalamikia madini na sheria za uwekezaji eneo la nishati na madini mlishasikia mheshimiwa raisi John Pombe Magufuri amelalamikiwa....?!

Hebu pevukeni basi kabla hamjakaa na kusema kuwa raisi anakosea na ataitia mashakani na hasara nchi yetu hebu jithiminini kuwa mnayemtetea anawahusu kwa lipi nyie vilaza msio na adabu wala utu na taifa lenu.........hapa iwe isiwe....raia wote tunasimama upande wa raisi wetu John pombe magufuri.....tupa vyama vyako kule hapa hajavaa sura ya chama yupo hapa kwaajiri ya taifa....hayo madini hasara yake si ya ccm ni ya TANZANIA yote kwa ujumla.......kama hakukuwahi kutokea taifa fukara na masikini lililowadindia hawa mabeberu basi wacha sisi tutengeneze historia na rekodi hiyo kwa mara ya kwanza....si vibaya tukithubutu......

Mheshimiwa Raisi, pambana mzee wetu sipo hapa kama mwanachama wa chama chako nipo hapa kama raia mzalendo.....tunasimama pamoja na wewe.......atakayeleta fyoko fyoko wewe tumia jeshi la polisi sweka ndani huyo si mtanzania mzalendo......kama anataka kuutumia uhuru wa kuongea autumie kukosoa kwa adabu na alete solution sio ulalamishi kama mwanamke kanyimwa pesa........


[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

YAAANI MITANZANIA HAITOKAA KUJA KUTOKA KATIKA UMASIKINI WA AKILI.....MIJITU MIJINGA SIJAWAHI KUONA.........YAANI MTU ANAKOSA USINGIZI KUWAKINGIA KIFUA BADALA YA KUWA POSITIVE MNAMSHAMBULIA KWA MANENO YA DHIHAKA NA KEJELI HIVI HAMJUI NA YEYE NI MWANADAMU ANATAKIWA KUPEWA USHIRIKIANO WA AKILI, ROHO,MAWAZO NA FIKRA.......MSYUUUUUUUUU

SONY Xperia Z5 Premium

Mwana Xperia Z5 platinum metallic ni amazing
 
AKILI ZA WA TANZANIA:
KUNA SIKU KUTAKUWA HAMNA SHIDA
KUNA RAISI ATAONDOA UMASKINI
WAKUU KAMA HATUFANYI KAZI TUTALALAMIKA KILASIKU
 
Cheki jinga jingine hili hapa......hivi wewe umeingiza shilingapi hadi sasa hivi......maaana huwa sibishani na watu wenye mwili wa mtu mzima ila akili za mtoto......!

SONY Xperia Z5 Premium
Sasa unasema hua haubishani na jinga alafu umecomment nini sasa?why usinyamaze?

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mitume na miujiza yao yote lkn hawakuwa wanakubaliwa na watu wote kuna waliowapinga na kuwatukana sembuse mimi,wewe au Magu

Hayo ni mapungufu tu ambayo kila binadamu anayo waliopita walikiwa na mazuri na mabaya yao halikadhalika na Magu pia
 
Ok, sawa tumekusikia,tupe nafasi kuyatafakari uliyoyaandika, tutarudi kwa ajili Ya mrejesho
 
Kwahii postbyako inaonekana kuna sehemu wamekubana, pole wangu, magu kaza kamba viuno vinaanza kulegea fyuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaaaa nakuona mavi tu hata wewe ,
 
Back
Top Bottom