Hivi Watanzania mnataka nini?

Hivi Watanzania mnataka nini?

Habari zenu wahenga!

Naandika hapa lakini mikono inatetemeka kwa hasira niliyonayo baada ya kuingia mitandao ya kijamii na kuona dhihaka kubwa inayofanywa na watu ati wanaojiita ni wazalendo kumbe ni wanafiki sijapata kuona.

Tukirejea miaka kadhaa hapo nyuma kabla ya ujio wa mheshimiwa raisi john pombe magufuri, raia walikuwa na malalamiko kadha wa kadha ambayo mengi yao ukiyatazama yalionyesha hali ya wao kukata tamaa kutokana na tabia za viongozi wa wakati huo kufanya kila aina ya ufisadi wakilifilisi taifa rasilimali zake kwa kuziuza kwa bei ya kutupa kwa makampuni ya nje bila hata huruma.

Kuna hata baadhi ya hawa hawa wanafiki walifikia hatua ya kusema hatokuja kutokea raisi atakayethubutu kutaka kudai au kurejesha thamani ya rasilimali zetu zilizopotezwa na hawa viongozi wachache wenye ulafi na tamaa za hali ya juu......

Leo hii amekuja kidume.....baba wa taifa part 2, stelingi.....bulldozer ......field marshal, askari shupavu, Jembe, simba dume, kisu cha madini ya chuma cha pua, kambale ndani ya bwawa la vidagaa vibwegebwege.......mheshimiwa raisi john pombe joseph magufuri .......ameamua kufuta lawama kwa kujitoa muhanga na kupambana na wakoloni.....wanaume suruali ambao kazi yao ni kututumua sauti tu ila vitendo ni sifuri kupita maelezo kazi yao nikuwapigia debe mabwana zao wa ulaya utadhani mliambiwa wale ni baba zenu wadogo.......pumbavu sana......

Hivi umeona wapi baba yako anapokuwa kwenye vita na jirani wewe unahamia kwa jirani.......acha ujinga wewe.......hivi magufuri anavyosema hizo bilioni $190 ni aliamka akazitunga kichwani........hivi ninyi tokea miaka yote ile wanachukua madini na kuondoka nayo..... kodi hailipwi si ndio ninyi mlikuwa mnasema kampuni zinakuja bongo zinapiga hela hazilipi kodi zinasepa kimya kimya....sio ninyi nauliza.......WEWE SI NAKUUUULIZA........LIONE KWANZA
....mnatia hasira kinyama wabongo yaaani mnakera sana hamjui tu. Hivi mnadhani sisi hatuna wataalamu wa kodi hapa Tanzania ambao wanaweza kukokotoa kodi na kutoa majibu ya uhakika ya malimbikizo ya kodi na madeni ambayo yameambatanishwa na riba ya kodi......hivi wanavyosema jamaa walikuwa wanachimba bure mlidhani ni nini......mchanga wa ujenzi wa nyumba.....si nawaliza ninyi mlijua wanachimba nini huko migodini?!

Tangu lini mzungu akatia nguvu na uwekezaji sehemu ambapo hakuna tija kwake.......sehemu ambapo hapatamlipa......hivi mnafahamu bei ya soko ya madini dhahabu kwenye masoko ya kimataifa huko duniani

............hivi mnaakili gani nyie watu kutetemekea watu kibwege bwege hadi mnaonyesha dharau za wazi wazi kwa raisi wenu kisha mnamtazama na kumchukulia kirahisi rahisi kuwa anakosea au hana busara kwa anachokifanya.......?!

Ama kweli mfadhili mbuzi utakula mchuzi yaaache matanzania haya yenye mavichwa na akili za kondoo yatawaliwe na wazungu milele amina........

Mimi nasemaje ningekuwa magufuri ningesema sasa nisikie mtu kaongea shit kuhusu mimi kuwadai acacia.....nakuweka ndani hadi nimalize uongozi mbwa kabisa........hivi nyie hawa wazungu wamewapa nini hadi mnawaona ni miungu wenu wakuwaogopa na kuwasikiliza kila wanachosema....hivi nyie mnajua huko duniani sisi ni kituko kwasababu ya ukondoo......nenda marekani pale fungua hata banda la chipsi uone balaa lake tra wa kule watakachokufanya......watakudai hadi kodi ya nywele kenge wewe.......

Sasa wao ni wakina nani waje hapa na kuchukua madini kirahisirahisi kisha wasepe kama as if nchi ni ya baba yao......pumbavu sana.......acheni upuuzi ninyi raia......

Kama hauna wazo la kusappot juu ya hili lililotokea kaaa kimya fanya maisha yako kama wengine tunavyofanya......magufuri hadai hizo pesa ili akale na familia yake anadai kwaajiri yako na mimi. Hata kama walioweka rehani hayo madini ni viongozi ambao yeye alikuwa nao serikali moja na chama kimoja mnaaanzaje kumwambia yeye anahusika......majitu majinga kabisa ninyi.....hivi ni lini mlisikia raisi magufuri alishawahi kuwa kwenye wizara au hata kamati ya wizara au hata tume ya wizara ya nishati na madini......ni lini yeye alihusika kwenye kutia sahihi hiyo mikataba......hivi wakati wabunge kama mh. Zitto kabwe, mh. Mnyika, mhm kafulila, na wengineo walipokuwa wakilalamikia madini na sheria za uwekezaji eneo la nishati na madini mlishasikia mheshimiwa raisi John Pombe Magufuri amelalamikiwa....?!

Hebu pevukeni basi kabla hamjakaa na kusema kuwa raisi anakosea na ataitia mashakani na hasara nchi yetu hebu jithiminini kuwa mnayemtetea anawahusu kwa lipi nyie vilaza msio na adabu wala utu na taifa lenu.........hapa iwe isiwe....raia wote tunasimama upande wa raisi wetu John pombe magufuri.....tupa vyama vyako kule hapa hajavaa sura ya chama yupo hapa kwaajiri ya taifa....hayo madini hasara yake si ya ccm ni ya TANZANIA yote kwa ujumla.......kama hakukuwahi kutokea taifa fukara na masikini lililowadindia hawa mabeberu basi wacha sisi tutengeneze historia na rekodi hiyo kwa mara ya kwanza....si vibaya tukithubutu......

Mheshimiwa Raisi, pambana mzee wetu sipo hapa kama mwanachama wa chama chako nipo hapa kama raia mzalendo.....tunasimama pamoja na wewe.......atakayeleta fyoko fyoko wewe tumia jeshi la polisi sweka ndani huyo si mtanzania mzalendo......kama anataka kuutumia uhuru wa kuongea autumie kukosoa kwa adabu na alete solution sio ulalamishi kama mwanamke kanyimwa pesa........


[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

YAAANI MITANZANIA HAITOKAA KUJA KUTOKA KATIKA UMASIKINI WA AKILI.....MIJITU MIJINGA SIJAWAHI KUONA.........YAANI MTU ANAKOSA USINGIZI KUWAKINGIA KIFUA BADALA YA KUWA POSITIVE MNAMSHAMBULIA KWA MANENO YA DHIHAKA NA KEJELI HIVI HAMJUI NA YEYE NI MWANADAMU ANATAKIWA KUPEWA USHIRIKIANO WA AKILI, ROHO,MAWAZO NA FIKRA.......MSYUUUUUUUUU

SONY Xperia Z5 Premium
Iv unge summarise icnge eleweka maelezoo meng point hazfk hata 3 ktk maelezoo yotee hamnaa mpy apoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona povu balaa, kwani ukiwasilisha bila povu hutaeleweka mkuu...duuh mkuu mpaka umesonya eti 'msyuuuu'..Nakushauri siku nyingine Panga hoja zako vizuri sio uwasilishe hoja kwa hasira au mihemko mikali..itakusaidia huko mbeleni
 
Mkuu mbona povu balaa, kwani ukiwasilisha bila povu hutaeleweka mkuu...duuh mkuu mpaka umesonya eti 'msyuuuu'..Nakushauri siku nyingine Panga hoja zako vizuri sio uwasilishe hoja kwa hasira au mihemko mikali..itakusaidia huko mbeleni
Nashukuru kwa ushauri best yangu.......msyuuuuuuuuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

SONY Xperia Z5 Premium
 
Back
Top Bottom