Hivi Watanzania hili mnalitambua kweli?

Hivi Watanzania hili mnalitambua kweli?

Rais magufuli amekuwa Mbunge wa Geita kwa miaka 20 toka 1995 had 2015.
Amekuwa naibu waziri toka 1995 had 2000. Toka hapo amekuwa waziri hadi 2015.

Cha kushangaza mkoa wake mpaka sasa ndyo wa pili kwa kuwa na umasikini Tanzania.
bb0905c3b75903b1dd72c23d9c7f8c00.jpg

Je, wale wanaoomba aongezewe muda wa kuwa Rais wanalitambua hili?

Watanzania wenzangu tunaotegemea Magufuli ataitoa Tanzania kwenye umasikini . Je, tunatambua kuwa miaka 20 ya ubunge na 15 ya uwaziri wake bado mkoa wake unasifika kwa umasikini Tanzania?

Bila kusahau kuwa mkoa wa Geita ndyo unamoja ya mgodi mkubwa hapa Tanzania (Geita gold mine).

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungependa nn kafanyike

JPM peke yake hastahili kubebeshwa yote ya nyuma kitaifa au ktk jimbo lake. Ila tumhukumu kwa nafasi aliyonayo kama hata-deliver.
 
Rais magufuli amekuwa Mbunge wa Geita kwa miaka 20 toka 1995 had 2015.
Amekuwa naibu waziri toka 1995 had 2000. Toka hapo amekuwa waziri hadi 2015.

Cha kushangaza mkoa wake mpaka sasa ndyo wa pili kwa kuwa na umasikini Tanzania.
bb0905c3b75903b1dd72c23d9c7f8c00.jpg

Je, wale wanaoomba aongezewe muda wa kuwa Rais wanalitambua hili?

Watanzania wenzangu tunaotegemea Magufuli ataitoa Tanzania kwenye umasikini . Je, tunatambua kuwa miaka 20 ya ubunge na 15 ya uwaziri wake bado mkoa wake unasifika kwa umasikini Tanzania?

Bila kusahau kuwa mkoa wa Geita ndyo unamoja ya mgodi mkubwa hapa Tanzania (Geita gold mine).

Sent using Jamii Forums mobile app
akijenga miundombinu kama uwanja wa ndege, TRA imara huko GEITA si nyinyi ndo wa kwanza kumpinga, analifahamu hilo ndio maana anaipigania kwa haki zote kuiinua geita
 
Mkoa wake ni moja ya mikoa yenye machimbo mengi ya madini! Amekuwa mbunge na waziri kwa vipindi vingi - Hakuwahi kusikika popozte iwe serikalini wala bungeni akitetea kuwa uchumi wa madini kwenye eneo lake la uwakilishi uiniue pia uchumi wa wapiga kura wake! Kujenga uwanja huko bila kuweka miundo mbinu ya kuwezesha uwanja huo wa ndege kutumika kibiashara hakutakuwa na tofauti na "Traffic light" aliyoweka Chato wkt hakuna hiyo "traffic"!!!

Mahaba na mtu yasitufanye tushindwe kuuona ukweli na kuukiri!
 
Kwa hiyo Magufuli alikuwa mbunge wa mkoa wote wa geita?

......
 
Bado makinikia huko ndiyo tutapata hasara kubwa sana maana tukishindwa kwenye majadiliano watatupeleka Mahakamani na kutudai fidia ya matrilioni, hapo ndipo wananchi watajua madhara ya kuwa na mtu anayekurupuka
Kwenye makinikia tulikuwa tunapata faida gani?

Huna tofauti na wana wa israel baada ya kutolewa utumwani wanafika njiani wakipaya msukosuko kidogo wanaanza kulia kukumbuja masufuria ya pilau utumwani

......
 
Rais magufuli amekuwa Mbunge wa Geita kwa miaka 20 toka 1995 had 2015.
Amekuwa naibu waziri toka 1995 had 2000. Toka hapo amekuwa waziri hadi 2015.

Cha kushangaza mkoa wake mpaka sasa ndyo wa pili kwa kuwa na umasikini Tanzania.
bb0905c3b75903b1dd72c23d9c7f8c00.jpg

Je, wale wanaoomba aongezewe muda wa kuwa Rais wanalitambua hili?

Watanzania wenzangu tunaotegemea Magufuli ataitoa Tanzania kwenye umasikini . Je, tunatambua kuwa miaka 20 ya ubunge na 15 ya uwaziri wake bado mkoa wake unasifika kwa umasikini Tanzania?

Bila kusahau kuwa mkoa wa Geita ndyo unamoja ya mgodi mkubwa hapa Tanzania (Geita gold mine).

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewekwa bondi ili kukomboa bombadier
 
Back
Top Bottom