Hivi Watanzania hili mnalitambua kweli?

Hivi Watanzania hili mnalitambua kweli?

Rais magufuli amekuwa Mbunge wa Geita kwa miaka 20 toka 1995 had 2015.
Amekuwa naibu waziri toka 1995 had 2000. Toka hapo amekuwa waziri hadi 2015.

Cha kushangaza mkoa wake mpaka sasa ndyo wa pili kwa kuwa na umasikini Tanzania.
bb0905c3b75903b1dd72c23d9c7f8c00.jpg


Je, wale wanaoomba aongezewe muda wa kuwa Rais wanalitambua hili?

Watanzania wenzangu tunaotegemea Magufuli ataitoa Tanzania kwenye umasikini . Je, tunatambua kuwa miaka 20 ya ubunge na 15 ya uwaziri wake bado mkoa wake unasifika kwa umasikini Tanzania?

Bila kusahau kuwa mkoa wa Geita ndyo unamoja ya mgodi mkubwa hapa Tanzania (Geita gold mine).





Sent using Jamii Forums mobile app

Geita na Chato ni sehemu mbili tofauti au una maanisha aliwai kuwa mbunge wa geita afu akawa wa chato mana huwezi kuwa mbunge wa geita hapo hapo wa chato
 
Back
Top Bottom