ulikuwa bado kilaza na mshamba so hata ujinga ulikuwa unaona ni pointi,hata hawa wanaokomenti ujinga basi ujue na hao ni mwaka wa kwanza kama wewe ulivyokuwa nao wanaona ni mambo ya maana wakikua wataona ujingaMwaka 2009 nilipokuwa mwaka wa kwanza ndio nilianza kutumia JAMII FORUM...nlikuwa naingia as a guest so nilikuwa sinamamlaka ya kupost...nilitumia JF kama sehemu ya kijifunza na nlijifunza kweli mambo mapya ingawa katika jamii inayonizunguka nlikuwa muongeaji mzuri iyo ilipelekea watu waniamin sana,sasa nilivoingia JF nkagundua mie kumbe mweupe....michango kama ya the boss,mzizi mkavu,faizafoxy,kipangan na wengine niliowasahau ulikuwa inajenga sana...
Sasa mwaka 2010 nilijiunga kwa Mara ya kwanza kwa ID ambayo kwa sasa siitumii kutokana mambo ya aibu nliyokuwa na post
Nashangaa siku izi JF sio ya great thinker.. Bali imejaa ubabaishaji mtu anaandika thread ya maana...watu wanajibu upumbavu mpaka najiulizaga sana kabla ya kuingia...watu wanaboa sana.
ulikuwa bado kilaza na mshamba so hata ujinga ulikuwa unaona ni pointi,hata hawa wanaokomenti ujinga basi ujue na hao ni mwaka wa kwanza kama wewe ulivyokuwa nao wanaona ni mambo ya maana wakikua wataona ujinga
eti Handeni!? wewe kweli maamumaaa!
Na ni taifa ambalo wanaongea lugha moja, dini moja, lakini hawaelewani wanauwana kama kuku .
Acha kupotosha wewe hakuna pacha hapo ni mwarabu ni uzao wa mjakazi alizaana bosi baada ya mke kutozaa miaka mingi lakini Mungu baadae alimpatia mke halali mtoto.
Unakumbuka historia kwenye biblia ambapo watoto mapacha walikuwa wanagombana tumboni mwa mama yao, hata baada ya kuzaliwa wakaendelea kugombana hadi walipokua. Kisha baba yao kawaambia dunia kubwa kawagawanyisha mifugo. Kisha kasema tazama mashariki ni kubwa na magharibi ni kubwa pia, wewe nenda upende wa mashariki na wewe upande wa magharibi ili kuleta ambani ndugu wasijhe kuuana. Huo ni ugomvi wa ndugu kwa ndugu.
Huyo Kijakazi alikuwa ni mnani? Mmatumbi, Mpogoro, Myahudi, au?
ulikuwa bado kilaza na mshamba so hata ujinga ulikuwa unaona ni pointi,hata hawa wanaokomenti ujinga basi ujue na hao ni mwaka wa kwanza kama wewe ulivyokuwa nao wanaona ni mambo ya maana wakikua wataona ujinga
Mkuu we unaoneka wame kudukua sana hawa jamaa.
Au uliwekwa kimada na msomali halafu akakutema!?
Naona umwaga mapovu ovyo!
Au mimba changa inakusumbua?
Asili yao ni Msoga!
Unaulizwa Ujauzito, we unaleta KITAMBI!
Hata wahutu, Wa Irish, wa iraq, wa Cambondia, wa Russia wote hao wanauwana Kila siku wao kwa wao!
Usiwe unaandika Vitu hujaulizwa! Nani asie yajua hayo?
Umeulizwa Asili ya Wasomali Ni WAPI?
Jibu swali au Kaa kimya!
Mipasho sio mahala pake hapa.
Hio historia aliyoiandika alitumia yale majani yaliopigwa marufuku akidhani ni Tumbaku kumbe Bobu male!
Kkkkkkkkk!
Of course yes you fool. I am also a decendant of the jews since i am a follower of Jesus Christ and he is a decendant of David and Abraham. You dont like it? That is your f*ng problem.