hiyo ni biashara kubwa sana duniani, na wengi wanoongea hadharani hawapendi ndio wanunuzi wakubwa, hata tuimbe kwa sauti namna gani hiyo itendelea kuweppo tu, bora waanze tu kukatwa kodi
Si pale africa sana kw pembeni?hakuna kahaba hapo,hao ni watoa huduma muhimu sana, tena hawatoshelezi na ndo maana bei yao iko juu saaana, maoni yangu naomba tu waongezeke labda bei itashuka, kaka wateja ni wengi sana ndo maana ikifika saa 8 mmoja kesha pitiwa kama na watatu hivi, jana nilienda pale sinza nafikiri kila mtu anapajua, du bei ilikuwa noma sana kwani kupata huduma hadi asubuhi ilikuwa elfu 60,000 leo sijaenda lakini nitaenda kuchek, hata hivyo mambo yao nayakubali sana
kumbe mnapafahamu wengi ? hahaha! wote makahaba ndio maana polisi wameacha kukamata wauzaji tu,siku hizi wanawasomba muuzaji na mnunuzi.Si pale africa sana kw pembeni?
Ni biashara iliyokuwepo tangu miaka 2000 iliyopitahiyo ni biashara kubwa sana duniani, na wengi wanoongea hadharani hawapendi ndio wanunuzi wakubwa, hata tuimbe kwa sauti namna gani hiyo itendelea kuweppo tu, bora waanze tu kukatwa kodi
Niko hapa katikati ya jiji hili la Dar, kwenye Hoteli moja iliyobadilishwa jina hivi karibuni.
Niko a wageni wangu, na pembeni wapo kina dada wanaojiuza, maarufu kama makahaba. Wapo ambao wameshapata mawindo yao na wengine bado wapo macho juujuu wakisubiri wateja.
Nimejikuta nikijiwa na swali hili, Hivi, iwapo hawa wanawake wanaojiuza watatembea usiku kucha mitaani na kwenye Mahoteli haya makubwa na wasipate wanaume wa kununua hiyo bidhaa yao itakuwaje?
Mimi naamini haitazidi wiki moja watakuwa wameshatafuta shughuli nyingine ya kufanya. Sasa hapa Kahaba ni nani? Mnunuzi au muuzaji?
Kahaba ni wote wawili Mnunuzi na muuzaji!
Haya ni matokeo ya kuwa na mfumo holela wa maisha kama Taifa lisilo na Maadili yake! Tumebaki kuwa Taifa lililo mfano wa Bendera isiyo na uelekeo mmoja, tumekuwa wa2 wa kuiga na kutenda tu NA SIYO TAIFA LA WA2 WENYE KUONA NA KUFIKIRI KABLA YA KUTENDA!
<br />@Gaga....... Hujajibu swali langu, Je Kahaba ni nani? Muuzaji au Mnunuzi?
@Gaga....... Hujajibu swali langu, Je Kahaba ni nani? Muuzaji au Mnunuzi?
hapo naamini muuzaji maana ndo anayefanya biashara hiyo ... mnunuzi hawezi kuhukumiwa kwa vile katangaziwa biashara (kahamasishwa)
Mr. It seems ww hujatembea big cities around the Globe au hata internet unaweza search utaona Dar ni mji ambao una malaya wachache sana, nenda Nairobi, Addis Ababa, Morocco, Abuja, Pretoria, Joburg, ulaya usiseme ndio wana licence na wanalipia kodi kuwa malaya, Dar wachache mnooooo, ww mgeni sana nahisiHivi nikisema kahaba ni Mwanaume nitakuwa nimekosea?
Mr. It seems ww hujatembea big cities around the Globe au hata internet unaweza search utaona Dar ni mji ambao una malaya wachache sana, nenda Nairobi, Addis Ababa, Morocco, Abuja, Pretoria, Joburg, ulaya usiseme ndio wana licence na wanalipia kodi kuwa malaya, Dar wachache mnooooo, ww mgeni sana nahisi