Hivi wasichana wakiingia chuon huwa wanazuzuka na nin?

Hivi wasichana wakiingia chuon huwa wanazuzuka na nin?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,358
Heshima mbele wakuu!eti wajamen,hvi hawa dada zetu huwa wanazuzuka na nin pindi waingiapo vyuon,unakuta bint kaanzana na mchzi tangu wakiwa secondary bt suprisingly akiingia chuon anamtema mchzi na kuanzana na visharobaro vya chuon,tatzo huwa ni nin jaman,maana nimeshuhudia kesi za namna hyo kama 3 toka kwa watu wangu wa karibu?
 
Kwa sababu wanakuwa kwenye mazingira huru kwahiyo wanajisahau sana kuwa maisha ya chuoni ni ya mpito tu.
 
wewe ukiwa secondar upo kwenye kifuu kilichojaa maji sasa ghafla aningia kwenye mto...na hapa ndio samaki bwena lazima uatakuwa na options nyingi....wakati unakuta huku nyuma siajabi yule aliyekuwa nae alikuwa the best option out of the limited options available
 
Wanagundua kwamba mapenzi sio ishu.
Kuuza sura na kukamata mshiko ndio kila kitu.
 
Halafu wakikaribia kumaliza chuo wanavoachika, utawaonea huruma
 
Wanagundua kuwa pale ndio kuna wanaowahitaji.
 
Freedom. Wengi wanatoka nyumbani ambako hawako free sana. Wakiingia chuo wanaona ka wametoka gerezani!
 
Halafu mwisho wa siku anabaki,'laiti ningejuaaaa!',then anamrudia jamaa ake wa zamani eti nisamehe my dear,ni shetani tu.

tunafanya makosa mengi na hilo ni mojawapo ila shetani asisingiziwe jamani.
 
Ni kiherehere chao!
Hata baba alisema
watoto wanapata
mimba ajili ya
kiherehere!
Wanachuo weeeeeeengi
ni victim
ajili
ya kiherehere!
 
nampenda sana demu wangu, ujumbe wenu nyote umenichoma sana coz yupo a dvance!!! eeeh mungu baba wa milele mwenye nguvu na mamlaka naomba umuepushe huyu mb****e na hiki kinachojadiliwa hapa amina!!!!!!

amen....!
 
Back
Top Bottom