gango2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2011
- 1,941
- 2,251
Wanagundua kuwa pale ndio kuna wanaowahitaji.
LAKFJADOFIEHJFOESAJHIO inamaana demu wangu yupo nami kwasababu hajamuona anayemuhitaji
Wanagundua kuwa pale ndio kuna wanaowahitaji.
Kwioo kwioo kwiooooh! Duwa la kuku... Mwewe watu tulichanjiani na madem damu tulikula kiapo. Mwanamke sio ndugu yako.nampenda sana demu wangu, ujumbe wenu nyote umenichoma sana coz yupo a dvance!!! eeeh mungu baba wa milele mwenye nguvu na mamlaka naomba umuepushe huyu mb****e na hiki kinachojadiliwa hapa amina!!!!!!
amen....!
Kwioo kwioo kwiooooh! Duwa la kuku... Mwewe watu tulichanjiani na madem damu tulikula kiapo. Mwanamke sio ndugu yako.