HIVI BADO KINA MAYASA WOMO HUMU...UNAKUTA DADA KAJIREMBA KAWEKA DOTI LA WANJA KATIKATI YA KOPE ZA MACHO,KAPIGA GAUNI LA MARINDA MARINDA VIATU VYA KOKONKO NA MKANDA WA KIPEPEO JUU KACHANA AFRO DOH!!ENZI ZETU JAMANI...[ooo mayasa mamaa.mayasa uzuri wa kuzaliwa nao..........]
aiseee my akanana Passion Lady miss you
kumbe swaiba na wewe mayasa...angalia usiende na magari hahaha
Sawa mwalimu mwandamizi wa Kiswahili. Hivi wakati unafanya mambo yako na wifi yetu huwa munazungumza Kiswahili fasaha?Samahani.
Naomba uhariri kazi "topic', naona kuna makosa ya Kisarufi.
Nitarudi tena.