Hivi wanawake wanaota vitambi?

Achilia mbali nadharia za kusadikika za 50/50 wanawake nao ni watu tu
 
Tunaomba picha ya kitambi cha mwanamke tafadhali
 
Mbona kama unazuga kuwa hujawahi kuwaona? Wako wengi sana, hawa wenye vitambi ni ama wanatumia dawa fulani au wanafakamia chakula sana
 
Binafsi sijawahi kuona wanawake mwanamke mwenye kitambi au hawaoti vitambi? au sijatembea sehem nyingi? ufafanuz wakuu

hahahah

karibuni:
Huwa wanapata kwa matumbo yote mawili, cha uzazi na cha castle lite barid na michemsho
 
Kuna tetesi kwamba wanapotumia uzazi wa mpango zile damu za kila mwezi/period hujirundika tumboni na kuwa linyama likuuubwa hivyo kupelekea kuota vitambi.

Karibia naamini sababu kabla ya uzazi wa mpango wanawake wenye vitambi ulikua unawatafuta kwa tochi 🤣🤣🤣
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…