Hivi wanawake waimba kwaya huwa wanagongeka ?

Wakuu,Kuna binti mmoja mwimba kwaya wa haya makanisa ya kilokole naona anajilengesha kwangu, sasa nataka nisipoteze muda wangu, nafikiria kumuomba mchezo but wasiwasi wangu asije akaanza kuleta story za mistari ya biblia.
So naomba kujua kama hawa waimba kwaya huwa wanagongeka na watu wa kawaida kama sisi tusiosali sana?
Tena hao wanagonganaga wao kwa wao, ni kama manjagu tuu
 
Dah humu ndani kuna mafia hatari [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna jamaa kipindi tupo chuo alipitia wana kwaya kama 6 hivi. Yeye alionekana potential husband material sababu alikua ameajiriwa hospitali ya jirani na anajifanya mchamung. hao mademu wanajiona ni wife material hawaendi club, hawavai nguo fupi wao ni church na campus[emoji38] ... bora sisi waenda club tulikua tunajua mafisi hatudanganyiki kizembe.
 
Hao mnaowagoga ni malaya kama malaya wengine wamejificha kanisani, Mlokole halisi humgongi kifala.
hao ni malaya wasiosimama kwenye BAR
 
Mwimba kwaya kitu gani? Watu wanapitia kuanzia Mtawa, Shemasi, Mzee wa kanisa hadi Mchungaji.

Haya mambo ni imani ya mtu binafsi na misimamo yake.

Muumini wa kawaida au hata mtu asiyeenda kanisani kabisa anaweza kuwa na msimamo mathubuti kuliko mwenye nafasi kanisani.
 
Wakuu,Kuna binti mmoja mwimba kwaya wa haya makanisa ya kilokole naona anajilengesha kwangu, sasa nataka nisipoteze muda wangu, nafikiria kumuomba mchezo but wasiwasi wangu asije akaanza kuleta story za mistari ya biblia.
So naomba kujua kama hawa waimba kwaya huwa wanagongeka na watu wa kawaida kama sisi tusiosali sana?
Wakuu,Kuna binti mmoja mwimba kwaya wa haya makanisa ya kilokole naona anajilengesha kwangu, sasa nataka nisipoteze muda wangu, nafikiria kumuomba mchezo but wasiwasi wangu asije akaanza kuleta story za mistari ya biblia.
So naomba kujua kama hawa waimba kwaya huwa wanagongeka na watu wa kawaida kama sisi tusiosali sana?
Thubutu ukitaka majini kamfanye huyo mwanakwaya
 
Write your reply...ukioa sawa.wengi wako ki hivo
 
Hao wanaliwa vizuri tu tena kimya kimya. Hawatakagi kujulikana kwa sababu wanaheshimika hapo kanisani. Unaweza hata kuchukua watatu katika kwaya moja na wasijuane.
Kabisaa.... na huwa hawatakagi lodge zenye kujulikana wala maeneo ya kujulikana... huwa wanajifunikaga ushungi ili wasijulikane... kama si wa kuvaa miwani atavaa... kama si wa suruali ataifanya wakati mnaelekea kijihoteli flani hivi cha chocho ILA KIZURI
 
Mwimba kwaya kitu gani? Watu wanapitia kuanzia Mtawa, Shemasi, Mzee wa kanisa hadi Mchungaji.

Haya mambo ni imani ya mtu binafsi na misimamo yake.

Muumini wa kawaida au hata mtu asiyeenda kanisani kabisa anaweza kuwa na msimamo mathubuti kuliko mwenye nafasi kanisani.
l
😀😆dah mkuu hadi wazee wa kanisa
 
Wakuu,Kuna binti mmoja mwimba kwaya wa haya makanisa ya kilokole naona anajilengesha kwangu, sasa nataka nisipoteze muda wangu, nafikiria kumuomba mchezo but wasiwasi wangu asije akaanza kuleta story za mistari ya biblia.
So naomba kujua kama hawa waimba kwaya huwa wanagongeka na watu wa kawaida kama sisi tusiosali sana?
Huwa wanaliwa kimasihara sana!
 
Hujaelewa alichosema au unataka kuendeleza tu ligi? Amesema mtu kama anagongeka ni malaya kama malaya wengine ula ye anakuwa amejificha kanisani. Mlokole aliyeshika vyema imani utaanzia wapi kumgonga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia na wewe hujanielewa kama ni wagumu kuwagonga unataka kusema hakuna watu hawawagongi ?

Hakuna mwanadamu mkamilifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom