Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 492
Wanamtomba!?😎Kwa nini kaka? Ni tafsida iliyotulia kabisa. Au niweke lile lenyewe kabisa?
Wanamtomba!?😎Kwa nini kaka? Ni tafsida iliyotulia kabisa. Au niweke lile lenyewe kabisa?
ha haha nakusubiria kwa hamu
Hivi good sex inajumuisha nini na nini...nisaidiegood sex
Sasa kwa mawazo hayo galadudu mbona unampa nafasi shetani alieumbwa maalum kwakoRoho mbaya hiyo buana mwache mwenzio atumie ile fomesheni ya "akikuchekea na we cheka nae" kama vipi na wewe c uanze kuzipekenyua hizo sketi kwani nani kakukataza
Wanaume wenyewe wachache hivyo wanajiongeza.mm nimeona inakuweje unajua huyo Ni mume WA mtu bado ugande Na hata huwa unawaona wapi pamoja Na Pete ya ndoa Anavaa
wala usijali we nivamie tu huku walet imejaaa
kwa hilo tu usijali nitaongea na boss wangu peterchoka ili anifanikishie hilo niweze kuja uchagani na kurudi bila kuuza simuwala usijali we nivamie tu huku walet imejaaa
Sikutegemea ushauri tofauti na huu kutoka kwa General Galadudu.
Evelyn Salt tuambie nini mnakomoana?
Hakuna jibu la moja kwa moja bestie..Inategemea na object wa mikasi mwenyewe anapendelea nnHivi good sex inajumuisha nini na nini...nisaidie
usijali boss wangu, nitakupatia hiyo pesa ukamlete mtoto mzuri miss chagga, pesa zinatafutwa tukwa hilo tu usijali nitaongea na boss wangu peterchoka ili anifanikishie hilo niweze kuja uchagani na kurudi bila kuuza simu
Mpenzi,ha haha nakusubiria kwa hamu
Naiweka kwenye kumbukumbu kwa matumizi ya baadae.mume wa mtu mtamu
ha haha mkuu ila siyo mume wangu ,, mume wa miss chagga ni sumuNaiweka kwenye kumbukumbu kwa matumizi ya baadae.