Hivi wanawake ni kuwa mnakomoana au?

Hivi wanawake ni kuwa mnakomoana au?

Wako wengi sana kiila mtu akibaki na mmoja wengine watakosa
kwa sensa ya 2012 inaonyesha kuwa mwanaume mmja anapaswa oa wanawake 15 kutokana na wao kuwa wengi!!!hapo naksapoti lkn tukija kidini ndugu yangu kwa hili jamaa anatenda dhambi kubwa hivyo aache tu
 
Basi usingehoji kama wanawake wanakomoana au la. Kwasababu kuna wanaume wanajua kabisa kuwa huyu ni mke wa mtu na bado wanamgonga, je hapo wanaume wanakomoana?
mi naona tungejadili why watu wanatongoza na kutembea na mke au mume wa mtu na anajua kabisa kuwa ameoa au ameolewa.

dada badilisha neno: WANAMGONGA
 
Fid Q: Maisha ni kama kioo, ukiyachekea na yenyewe yanacheka!

Muulize mshkaji wako anachotafuta katika pichu za wadada hao nini?

mm nikikwambia ukimwi unautafuta akanjibu hawez kufa kindez Na ukimwi.
 
Wanamahesabu wamethibithisha kuwa uwiano unaofaa ili wanawake wote duniani wapate huduma inatakiwa mwanaume mmoja awe na wanawake saba
 
Sasa kwanini usimshauri huyo jamaa yako atulie na ndoa yake aache ubeduhi?

nimeshamshaur Sana Na kila weekend bar tupo pamoja, mm kilichonishangaza, wanawake kutembea Na mwanamme Na mnajuana?
 
Kuna baadhi ya wanaume wenzetu wanautafsiri vibaya uanaume...ni watu wazima lakini bado wana akili za kivulana...wanaongozwa na mihemko ya viungo vya uzazi kama kuku....
 
Hayo ndiyo matatizo ya kutoitumia balehe vizuri mambo ya kufanya wakati wa kubalehe unayafanya ukubwani
 
kwa sensa ya 2012 inaonyesha kuwa mwanaume mmja anapaswa oa wanawake 15 kutokana na wao kuwa wengi!!!hapo naksapoti lkn tukija kidini ndugu yangu kwa hili jamaa anatenda dhambi kubwa hivyo aache tu
Una uhakika kuwa hiyo analysis ilifanyika? Ndo maana watu humu huulizwa SOURCE. Siamini kama kulikuwa na swali kama hilo ili uchambuzi wa mwanaume anapaswa kuoa wake wangapi maana 51% ni akinamama (Females) na 49 % walikuwa akinababa (Males).
 
Tatizo ni wanawake au huyo rafiki yako kiwembe?
Umeona eeh? Eti tatizo wanawake na ndio maana anauliza kama ni kukomoana au la? Mie ningeuliza "hivi mwanaume ulieoa bado unakimbizana na visichana vya mtaani UMEROGWA au????
 
Kuna baadhi ya wanaume wenzetu wanautafsiri vibaya uanaume...ni watu wazima lakini bado wana akili za kivulana...wanaongozwa na mihemko ya viungo vya uzazi kama kuku....
Mkuu HESHIMA tele kwako. Sitaki hata kuongeza neno!!
 
Tanzania nayo iwekewe sheria atleast mwanaume aoe wanawake watatu, labda tunaweza punguza matatizo kama haya.
 
''...Sasa kingine jamaa hata usafiri hana kazi yenyewe mshahara ni wa kawaida sasa nashindwa kuelewa hawa mabinti wanazenguka na nini kwa mshkaji?...''

Upo serious unauliza swali hili hali wewe ni mwanaume?! Unahisi wanawake wanataka usafiri na mshahara?!!
 
Ukiwa na mke wanawake ndiyo wanakupenda zaidi, na wanagigonga sana kwako, mpaka utashangaa... ukiwa single, humuoni hata mmoja... jaribu kuwa kiwembe utawakata wengi sana... ila jaribu kuwa mlokole, utasandaa na migundi na kuwa mtu wa masterbation...
 
Back
Top Bottom