Hivi wanawake mnawaza nini pale mnapotongozwa?

Me nimekuwa dada!!! Haya bhana
8e53299c14f3f0f5d3f71e033252f92a.jpg
Nmeelewa kaka samahani
 
Yaani wanawake ka si wote lakini asilimia kubwa 98% yao. Ukianza tu kumwaga sera, yeye hasikii tena bali mawazo yake ni Je, hogo lake ni kubwa au ni kibamia. Anajua kuwa muendako, utakuwa tiyari umeshaandaa mahali pa kumvua pichu.
 
Kwa kawaida yangu mimi binafsi ninapomtongoza mwanamke huwa nakuwa nawaza jinsi nitakavyogegeda endapo atakubali. Nawaza mastyle nitakayokuwa namuweka nikiwa namgegeda na hii nadhani ni fikra za kila mwanaume na ndio maana mwanaume mwingine huwa mwamvuli unakunjuka anapokuwa anatongoza.

Sasa najiuliza swali, hawa wanawake wao wanawaza kitu gani hasa kwa mara ya kwanza anapotongozwa? Eti nyie wadada wa humu MMU huwa mnawaza nini kwa mara ya kwanza mwanaume anapokutongoza? Yaani huwa ni kitu gani hasa mnachofikiria kichwani endapo una lengo la kumkubali huyo mwanaume?

Yaani unawaza nini hasahasa? Msaada wenu ili na sisi tujue.
mmmmh labda ungesema huwa wanawaza nini wanaporushiwa hela, maana siku hizi unarusha 50,000 na jina la guest na chumba ulichopo,baada ya dk 5 unasikia honi ya bodaboda
 
Back
Top Bottom