Hivi wanawake mnapofanya ngono huwa mnapata raha?

kwanini usimwambie ukweli huu uliousema hapa ? hapo ndio wanawake huwa mnakosea sana, kama humpendi mtu mwambie kama hivi ulivoandika hapa
sasa unakuta kuna wadada hampendi mwanaume ila anachukua dhawadi zake na anambebisha
Mtu haelewi...sasa ufanyaje... Unamwambia haelewi.. unamblock anabadilisha number
 
Yaan kuna muda naanza kuhisi hivyo, nawaza sijui hawa wenye tabia hz niwapuuze au?

Ajabu ni kwamba ukimpuuza na ukaacha kabisa kumuomba au kuacha kabisa kumtafuta anakuja mpaka kwako na siku hiyo ukimuomba tunda anakua sio mbishi wala nini ila akitoka hapo hakupi anaanza tena kukuzungusha
Kwasababu anajua huo ndio udhaifu wako, kwahy anakupa kukutuliza ukitaka kuchomoka tena anakupa tena
Kwhy mtindo ndio huo
 
Kwa hiyo wadau mnanishauriji niachane na hao wanawake wenye tabia tajwa hapo juu au niendelee nao ? Nini nifanye ili niwe napewa tunda kila siku maana kwa mwez napewa mara moja tu?
Tafuta mke uoe, sio mkeo halafu unataka akupe tunda kila utakapojisikia
Thubutu mwendo huo huo wakulilia lia ndio unapewa
 
Pole mkuu Ila ukiona ivyo basi tafuta mwenye hisia nawe maana wengine wnawake wanawaomba mechi Hadi wanaona kero na kuisi usumbufu na siyo kuwa wananawapa pesa Mingi Ila ni pesa ya soda tu wasijiisi hawapendwi
 
Inawezkan mkuu kun mtu ukpat bahat ya kumpigia chabo ananyandua dem wako unawez ukalia
Watoto wa sasa hivi wanaliwa sana halafu wanaliwa kwa booster za kutosha , mara mkongo, mara sijiui nini , wakitoka hapo wanajiona wajanja kweli kumbe hamna kitu, ukikutana nae sasa analeta dharau kumbe yeye ndio mjinga
 
Hahahaha hakupendi ila unavyompa hataki kuviacha linapokea tu!
Yani hawa watu bana duh...mtu hakupendi ila anaona uzito kusema maana utaondoa misaada.

Njaa mbaya sana yani na ndio hufanya watu wawe wanafiki kichizi.
Ni kama serikali ya JMT, haiwapendi mabeberu lakini hela za covid 19 wakalamba. Opportunists wapo katika nyanja zote mkuu, kuanzia State House hadi huku mtaani. Shida sana hii...
 
Hahahah
Ni kama serikali ya JMT, haiwapendi mabeberu lakini hela za covid 19 wakalamba. Opportunists wapo katika nyanja zote mkuu, kuanzia State House hadi huku mtaani. Shida sana hii...
Hahahahah wanataka hela za mabeberu ila mabeberu wenyewe hawawataki 😂😂😂!
Tuishi nao tu maana hamna jinsi...cha msingi usiwekeze hisia.
 
kuna mambo mengi sana hapo,
1.hata umpige bao 20 ila kama unanuka jasho wakati wa sex hawezi kukuomba game siku nyingine wala kukutamani
2. mswaki unapiga ? hunuki mdomo ?
3.unaoga na kubadili boxer mara kwa mara ?, maana inasemekana kuna mabaharia wanatuangusha wananuka p*mb*
4. demu ana hisia na wewe ? yani yupo na wewe sababu ya kukupenda ?
5. UMETAHILIWA JE ?(kwa sauti ya brother K)
😂😂😂😂😂😂
 
Hahahaha hakupendi ila unavyompa hataki kuviacha linapokea tu!
Yani hawa watu bana duh...mtu hakupendi ila anaona uzito kusema maana utaondoa misaada.

Njaa mbaya sana yani na ndio hufanya watu wawe wanafiki kichizi.

ndio mkuu, manzi anajua kabisa huyu msela nikizingua sipati vi dhawadi sasa inabidi akomae humo humo
hii ndio husababisha kuumizana badae, lakini wangekuwa wanatuchana mapema ukweli ingekua powa
 
ndio mkuu, manzi anajua kabisa huyu msela nikizingua sipati vi dhawadi sasa inabidi akomae humo humo
hii ndio husababisha kuumizana badae, lakini wangekuwa wanatuchana mapema ukweli ingekua powa
Hahahahah tatizo minoti yako anaitaka, akisema yaishe mapema ataishije😂??? Anakulia hela mpaka akipata anayempenda anakukimbia anahamia kule.
 
Hahahahah tatizo minoti yako anaitaka, akisema yaishe mapema ataishije??? Anakulia hela mpaka akipata anayempenda anakukimbia anahamia kule.

tunaishi nao hivi hivi tu, kuna jamaa yangu huwa anapatia humo manzi, anaweka urafiki na manzi mwisho wa siku manzi anaanza kulalamika hampendi mtu wake,jamaa anaishia kuchakata
 
tunaishi nao hivi hivi tu, kuna jamaa yangu huwa anapatia humo manzi, anaweka urafiki na manzi mwisho wa siku manzi anaanza kulalamika hampendi mtu wake,jamaa anaishia kuchakata
😂😂😂😂😂😂 anajifanya amita bachan kumbe tapeli tu.
 
Mimi kiukweli bado nina mashaka na hawa viumbe wanaitwa wanawake. Kuna maswali fikirishi mno na nahisi kuna nyakati ihuwa wanasikia maumivu ila hawasemi tu

Maswali yangu ni haya

1. Kwanini wanawake hata mkiwa na mahusiano huwa hamuombi sex mnasubiri mwanaume ndio aombe?

2. Kwanini huwa mnakuwa wagumu kutoa tunda? Mtu ukimuomba anaanza kukuzungusha mara nipo home nafua mara nimelala mara nina kazi ikiwa lengo tu ni moja akupige chenga msisex?

3. Kwanini kipindi cha sex tukiwaang'ang'ania sana huchomoka na kuziba nyuchi zenu kuonesha hamtaki kuendelea?

NAKARIBISHA MAWAZO MAANA kuna kipindi mtu unajitutumua unapiga goli tatu za kuunganisha ukiwa na imani kuwa leo nimkojolesha na kitanda kimelowa ukiwa na imani kesho atakuomba yeye msex. Cha ajabu HAKUOMBI wala nini na hata ukimuomba wewe bado anakuzungusha

WANAWAKE MNATAKA TUFANYE NINI JAMANI?
Wanataka kubakwa ndiyo wanasikia raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom