Hivi wanawake mna nini?

Hivi wanawake mna nini?

Usimlaumu huyo mama anayemganda mumeo. Lawama zote zielekeze kwa mumeo. Angekuwa hataki kugandwa na huyo mama wala wasingegandana.

Mumeo kuna kitu anachokipenda/anachokitaka kwa huyo mama ambacho pengine wewe huna/humpatii. Kaa naye kitako umuulize atakwambia tu. Na mwambie wazi kuwa hupendi anavyogandana na huyo mama. Kama anakuheshimu atakusikiliza.

Nasisitiza tena. Mumeo ndiyo furushi na siyo huyo mama
🤣
 
Kizuri kula na mwenzio shoo..ukitaka wa kwako chonga mgomba Bibi weeh..😂😂😂..kikubwa ana timiza wajibu Kama Mume ukitaka kuyajua mengine utakufwa na presha.
 
Wanawake ni watu wakuwaangalia kwa jicho la nyuma. Mimi nimeolewa nanina mume wangu tuko pamoja huu ni mwaka wapili tunakaribia .

Sisi tunafamily friends wetu kama nyumba 3 wote ni watu wanajiheshimu ila kuna huyu mama hana hata haya tukiwa gethering yeye humganda mume wangu nakuwa kama wake.

Simu haziachi kuita kila saa sijui anataka nini. Nikimuuliza mume wangu anasababu za hapa na pale. Unakuwa unamvumilia mtu mpaka,kumbuka kuna yule mshenzi mmoja kamchukua kabisa mume wangu ila hujua kuficha uchafu wake huwezi mnasa. Ila hadi huyu sasa anamtakia nini mume wangu mbona wao siangaiki na waume zao?

Nimechoka kabisa. Maisha haya bora usifuatilie mamboo ila ukiacha tena kutomfuatilia nakuvaa husika kama mke utachezewa sana.

Mwanamke anamuacha mumewe kazi kumganda wangu wake anamuachia nani sasa. Masaa yote baba fulani baba fulani ngoja baba fulani aje atanisaidia .

Na mume wangu huitwa tu kama pia nalo hilo. Linaenda kama zuzu, mimi kila kitu ninacho vyotee ambavyo mume anavutiwa. Ila kutwa kubadilisha wanawake bora hajajiabisha kwa wasichana wakazi.

Wewe mwanamke umeolewa unafamilia yako kutwa kuganda wanaume za watu kama huridhiki sio lazima uonyeshe mi nyege yako kwa wanaume za watu. Kuweni na haya hamtulii viben ten nyie , wazee nyie wakaka wa makamu nyie. Hivi unahimilije?

Yaani wamenichosha akili sijui huyu mume wangu wanamuonaje, yaani ni mume wangu tu watu wamgande nasio mdogo ni mzee eti. Ila baba fulani nani kila mama anamuhangaikia. Yaani siendi tena jumuia ya familia aende huko akapapaswe. Walai inaniuma sana ila sina jinsi.

Tukienda mgahawani wasichana wanamtizama kwa macho ya mahaba. Hadi manesi wananipa huduma ya haraka kisa yeye, benki na sasa hadi hardware. Yaani kila mahali nimechoka naombeni ushauri kunatime mtu anahitaji hili.
Mmmh! haya Mambo ya wakubwa me bado mdogo acha niende kojoa nikalale maana hamna namna.
 
Kizuri kula na mwenzio shoo..ukitaka wa kwako chonga mgomba Bibi weeh..😂😂😂..kikubwa ana timiza wajibu Kama Mume ukitaka kuyajua mengine utakufwa na presha.
Eti eh
 
Nimemchunguza nimechoka kabisa
Anamke mkubwa ambaye waliachana bi mkubwa alienda kuoelewa na mzungu.
2.Anakimada njee mwenye mtoto
3.Anamfurukuta mke wa best yake .
4.Kila tukienda mahali hunipa stress .
Watoto wa bi mkubwa ni wakubwa wapo 4 na wangu mapacha 2 halafu kimada mmoja jumla 7 anao huyo .
Ni kimeo ila ndio mume halali wa katoto kazuri
Heeeeeeeeh huyo mwanaume hapana kafuzu viwango vya FIFA kwa umalaya. Khaaaaaah
 
Heeeeeeeeh huyo mwanaume hapana kafuzu viwango vya FIFA kwa umalaya. Khaaaaaah
Best hujakosea naishi hivyo hivyo kuliko kabisa ili mradi hanisumbui kichwa .
TUNAHESHIMIANA .
naukimwona hutajua ni malaya anaheshima sana ni anajiheshimu.
Ila cmu zake zinaita kama dalali.
 
Best hujakosea naishi hivyo hivyo kuliko kabisa ili mradi hanisumbui kichwa .
TUNAHESHIMIANA .
naukimwona hutajua ni malaya anaheshima sana ni anajiheshimu.
Ila cmu zake zinaita kama dalali.
Naweee nae khaaa unafurahia tyuuh hali hiyo? Hebu kuwa na msimamo mwaya, Linda na zuia ndoa yako kuingiliwa na vidampa wa nje. Ooooh utakuja shtuka too late shauri yako.
 
Back
Top Bottom