Hivi wanawake hamna namna yoyoye ya kulipa fadhila kwa mwanaume zaidi ya papuchi?

Chifyono

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
921
1,658
Habari JF.
Hiki kiswali kinahitaji majibu kutoka kwa wanawake wa humu JF. Hakika hawa viumbe ni wadhaifu sana, mwanaume umekutana nae tu katika safari ukatingwa na shida zako mwanaume akajitoa kama kukupa msaada wa kibadamu, je hamuoni namna nyingine ya kushukuru mpaka muanze kujitongozesha kutoa papuchi?

Wiki hii nilikuwa na safari toka mkoani kuja Dar, nilifanikiwa kukaa seat moja na mwanamke mrembo tu anafaa kwa matumizi ya binadamu lakini mimi sikumuhitaji kimapenzi na nilikuwa bize na mambo yangu

Yule mwanamke alikuwa na mashida yake kibao ikiwa hakuwa na vocha ya kuwasiliana na mtu atakayempokea, kuepusha usumbufu wa kuazima simu yangu kuwasilana na huyo ndugu yake nikamfanyia mhamala wa 2000 ajiunge bando la wiki, akafurahi sana

Safari imeendelea, kufika sehemu ya kula chakula yeye hana kitu nikaamua kumnunulia na yeye

Tumefika Morogoro uzalendo ukamshinda akaanza vistory vyake vya mahusiano nami nikawa namsapoti kimtindo...mwishowe aliniomba namba mwenyewe kwani nilikuwa kauzu bandidu nisiyetaka mzaha kabisa

Kufika ubungo saa 2 usiku, huyu mwanamke ndio mara ya kwanza kufika jijini na mwenyeji wake alichelewa kufika kutokana na foreni za jiji. Ili kumsaidia nikaamua kukaa nae mpaka hapo atakapokutana na huyo mwenyeji wake

Alikuja kufuatwa mida ya saa 4 kasoro ivi, kila mtu akaacha na kufuata njia anayoijua yeye

Baada ya hisani hiyi niliyoifanyas kiubibadamu, sasa mwanamke huyo ananitafuta kwa udi na uvumba ili anilipe wema niliomtendea katika nyakati hizo ngumu

Hivi ninyi wanawake hamuna namna ya kutulipa hisani tunazowapa zaidi ya papuchi? Si kila mwanaume anayekusaidia anashida na papuchi yako, wengine tumezifuga majumbani mwetu tumetulizana!

Nawasilisha
 
Umejuaje anakata kulipa fadhila?..

Amekutamkia direct kuwa anataka kukupa Fatuma Mcheka Hovyo?
mkuu mara ya tatu naona unacomment kwa kuita hicho kiungo cha kuheshimiwa eti fatuma mcheka hovyo kwakweli huko ni kukidogesha na kukidharaulisha sana.....na mimi nachukia sana hiyo tabia....kuwa makini mkuu...
 
Next time panda zako ndege, hamnaga stori nyingi kidogo tu mshafika, sio mnashinda kutwa nzima mpaka unapambana na walipa fadhila kwa papuchi
Upo sahihi.

Nikiwa naenda Italia mwezi ujao. Upo tayari twende wote ?
 
Kama wiki moja hivi nimekaa ‘levo siti’ na binti mmoja mtetea, ghafla akahisi kuanza ‘kunyesha’ na hana mia zaidi ya nauli maskini.... kanichana nimsaidie anunue ‘vifungashio’ nami bila ajizi nikafanya hivyo.

Sasa nawindwa kwa heshima zote ili nipewe shukrani, ila sijawaza kama huyu mtoa mada... tuendelee kujilinda wakuu.
 
Mkuu mtu amekuambia ni mgeni na kama unavyojua watu wamikoani wanavyoisikia na kuogopa hili jiji, ilinibidi tu nimsaidie kiroho safi
Na wewe pia umezidi msaada gani huo
Yaani umefika nae Ubungo badala ya kuondoka upo tu na vijistory vyako vya hapa na pale
Ni kama vile na wewe huo mzigo ulitaka uwe nao maana si kwa company hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kelele za Nini mkuu..?
Kwani amekulazimisha..?
Kama wewe hutaki nipe namba Mimi namtaka hiyo fadhira yake! We endelea kupiga mipunyeto yako
 
Back
Top Bottom