HIvi wanaume wenzangu mlifanyaje?

HIvi wanaume wenzangu mlifanyaje?

Sheffer95

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2020
Posts
274
Reaction score
771
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.

Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?

Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
 
mkuu wanawake wengi hivo wewe unahangaika na anaegawa nyapu bure? na wengi wa hivo hata nyuma wanatoa bure
 
Sio kila mwanamke atakukubali utakapomtongoza mkuu jifunze kukubali kukataliwa usiende na matokeo mkononi kama yanga anapoenda kucheza na singida blac....
 
Huyo mwanamke hataki kuhudumiwa, na we umewekeza akili Yako Kwa kumpa maneno ya kúwa utakuwa provider mzuri kwake,
Stuka mkuu saingine wanawake huwa hawanaga shida na kutimiziwa mahitaji Yao Kuna la zaidi ya hapo, hao anaotoka nao unakuta ni watu wa hovyo lkn ndo anawaelewa, kifupi Mzee huyo sio type Yako apo utaishia kuhonga tu na kupigwa kalenda hao kuku pori waache hutawaweza!
 
Mwanamke Kama ajakuelewa Hata umpe Nini, Ndugu kwanza nakupa pole ila unatakiwa kumsoma mwanamke na kumuelewa kua mwanamke kama ajakukubali utapata shida sana, na karenda kwako zitakua nyingi atakuzungusha mpaka ukome, jifunze kukubali kukataliwa.
Taratibu utazoea na utamuona ni wakaida tu.
 
Ne
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu

Never Be A Nice Guy
 
We mjinga kweli, yaani unalilia mchepuko asiyekutaka....ukiona hakutaki shukuru Mungu, si kila mwanamke anafaa kwenye mahusiano kwani wengi wao ni majini watu ambao hawafai kwa lolote na ndiyo maana wanaishia kuroga waume za watu tu. Ukiona hakutaki basi juwa pengine kinga zako za mwili ni kali kwake, anakuona wewe kama mkosi / nuksi. Usiwachukulie wanawake serious, wanalostisha sana ambitions za watu, jitafute kimaisha utapata mwanamke sahihi maishani mwako.
 
Mwanamke Kama ajakuelewa Hata umpe Nini, Ndugu kwanza nakupa pole ila unatakiwa kumsoma mwanamke na kumuelewa kua mwanamke kama ajakukubali utapata shida sana, na karenda kwako zitakua nyingi atakuzungusha mpaka ukome, jifunze kukubali kukataliwa.
Taratibu utazoea na utamuona ni wakaida tu.
Wanawake wengi sana ni mizigo, hawafai hata kwa one night stand......kuna wengine unalala naye tu anakuharibia maisha na kuwa na mikosi maishani mwako mpaka kifo chako. Angalieni wanawake wa bongo movie na fleva wale warembo wanaolala na wanaume kwa ajili ya kupewa hela.....unakuta demu kishalala na mwanamme fulani na kupewa hela za ujira wa kuchafuliwa mwili, anazeeka ghafla na kuwa alosto kwa sababu nyota zao tayari zishachotwa na kuharibiwa maisha. Mwanamme ukiingia kichwa kichwa kulala na demu kama huyu unabeba laana zake za mwili naye anaanza kupata ahueni.
 
Sio kila ukikataliwa hupendwi, kuna wengine wanakupenda ila hawataki kukuambukiza magonjwa hivyo wameamua kugawana wao kwa wao.

Umeme wa Grid ya taifa ni mwingi sana ndio maana kuna kuwa na sub stations kuupoza kabla hauja sukumwa kuja kwetu majumbani.

Labda anapunguza makali kabla hajakuunganisha punguza stress na wivu, ila ukilazimisha utaunganishwa hivyo hivyo nawe ukawe miongoni mwao.

Muwe mna ridhika na kuukubali ukweli, hakutaki wewe unaleta mabo ya pesa.

Mapenzi siyo pesa.
 
Yaani unalilia mtu ale hela zako? Mwanamke anayekukataa unapomtongoza ni bora kuliko anayekukubali kumbe ndo anakuingiza kwenye matatizo. Wewe una akili timamu?
 
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
Aisee kumbe bado kuna watu mazezeta duniani, yaani unalilia mwanamke asiyekutaka,,,,unajipa matatizo ya nini, huoni kama ni baraka kwako kukataliwa na mwanamke aliye jini? Mkuu, si kila mwanamke anafaa kwa matumizi na ndiyo maana wengi wao wako singo wametengwa makusudi tu ili waliwe na vijana wa kigaidi wanaojitoa muhanga.
 
Yaani unalilia mtu ale hela zako? Mwanamke anayekukataa unapomtongoza ni bora kuliko anayekukubali kumbe ndo anakuingiza kwenye matatizo. Wewe una akili timamu?
Huyu atakuwa ndiyo kwanza anabalehe, sijapata ona mtu mjinga kama huyu
 
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
Una mzaha kweli, uko unalazimisha mtu kula hela zako, na unajua wazi anazagamuliwa na wengine , so sad😌au ndo kizuli kula na wenzio, leta hizo hela apa tukalipe deni la taifa🫢
 
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.
Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?
Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
Taarifa zako za kuwa unameza tembe anazijua ndio maana
 
Unakuta una mtaka mwanamke umfanye mchepuko wako na umpe maisha ila anakukataa.

Lakini unapata stori anatoka na wanaume za watu, ambao umewazidi kila kitu kuanzia maisha, n.k na anateseka tu kila siku ila wewe ukimwambia umfanye mchepuko na umuhudumie vizuri na kumjengea hakutaki?

Hivi wenzangu mlifanyajr kumpata, nipeni mbinu
Si lazima wanawake wote wakushobokee kisa uwezo/ pesa zako

Cc Smart911
 
Back
Top Bottom