Yaani nashindwa kuelewa wenzangu hua mnawezaje umemtongoza mwanamke kakukubalia mnapanga siku ya game for the first time mnakaa kwanza baa mle mnywe ndo mkafanye yenu, huwa mnafanyaje
Kwa sababu Mimi ukinambia game kesho duu napotezaga network hata kazini akili haikai vzr nikifikiria huo mchezo mnara hua unasoma kila wakati sa ndo unambie tupitie Kwanza baa cjui tule tunywe ndo twende ujasiri huo ntaupata wapi labda tukaanzage kwanza ndo mambo mengine yafate.
Hua najiuliza wenzangu mnawezaje?