Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,263
- 25,539
Bahati nzuri sikai baa wala situmii pombe kabisa. .
Bahati nzuri sikai baa wala situmii pombe kabisa. .
Vipi kwa wasiotumia vilevi, Utamlewesha na nini?Kwanza mwanamke asipolewa huwezi kumfaidi...
Ebu njoo PM mpz wanguVipi kwa wasiotumia vilevi, Utamlewesha na nini?
Pm tena, ongea hapa hapa mkuuEbu njoo PM mpz wangu
Wanachapwa vibao vya matako hadi walewe๐Vipi kwa wasiotumia vilevi, Utamlewesha na nini?
Haaa mkuu wewe๐โโ๏ธ๐โโ๏ธWanachapwa vibao vya matako hadi walewe๐
Basi ww sio mwanaume. Usijifananishe na sisi ww tafuta jinsia uliopo mwanaume usieweza kuenda na flow ya mambo mwanaume unakua na kiherehere ungesema kama hutaki kuwa mwanaumeYaani nashindwa kuelewa wenzangu hua mnawezaje umemtongoza mwanamke kakukubalia mnapanga siku ya game for the first time mnakaa kwanza baa mle mnywe ndo mkafanye yenu, huwa mnafanyaje
Kwa sababu Mimi ukinambia game kesho duu napotezaga network hata kazini akili haikai vzr nikifikiria huo mchezo mnara hua unasoma kila wakati sa ndo unambie tupitie Kwanza baa cjui tule tunywe ndo twende ujasiri huo ntaupata wapi labda tukaanzage kwanza ndo mambo mengine yafate.
Hua najiuliza wenzangu mnawezaje?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu kwani wewe hupendi butt-slapping?๐๐Haaa mkuu wewe๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Nakazia ...Ukichukulia mapenzi ni starehe inapendeza zaidi na huo ndio mtiririko wake yn huwezi kuwa na haraka, ila kama unachukulia kuwa leo naenda kupafumua mpaka patoe moshi bc ndo tatizo la mtoa mada linapoanzia
Hatari mie kama kunywa tunywe chumba i huku tayari wote tupo uchi. Bar nitajikuta naaibika tuuYaani nashindwa kuelewa wenzangu hua mnawezaje umemtongoza mwanamke kakukubalia mnapanga siku ya game for the first time mnakaa kwanza baa mle mnywe ndo mkafanye yenu, huwa mnafanyaje
Kwa sababu Mimi ukinambia game kesho duu napotezaga network hata kazini akili haikai vzr nikifikiria huo mchezo mnara hua unasoma kila wakati sa ndo unambie tupitie Kwanza baa cjui tule tunywe ndo twende ujasiri huo ntaupata wapi labda tukaanzage kwanza ndo mambo mengine yafate.
Hua najiuliza wenzangu mnawezaje?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kwenye mapenzi formula ni zile zile ila sio kwa kila mtu hufanya kazi. Haraka yanini wakati uhakika wa kula upo?
KE wanapenda outings na kula, huko unajichukulia points si unajua huwa hawalagi watokako . Asije akakufia njaa bure