Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Uliniquote sikuona your contentAbee
Okay pole , nilisema kuwa usiseme kuwa wanawake wana njaa , kupeleka mtu sehemu nzuri ni form of appreciation that shows unajaliUliniquote sikuona your content
[emoji28][emoji23][emoji23]Ndio kusema[emoji28]dem akitoa tu chupi wazungu hao [emoji23] anaanza kutia huruma.....
Okay i appreciate ni kujali shukrani kwa kunielewesha hilookay pole , nilisema kuwa usiseme kuwa wanawake wana njaa , kupeleka mtu sehemu nzuri ni form of appreciation that shows unajali
We bado mvulana, mbunye ni kitu kipya kwako. Kwa wanaume hicho ni kitu cha kawaida sana!Yaani nashindwa kuelewa wenzangu hua mnawezaje umemtongoza mwanamke kakukubalia mnapanga siku ya game for the first time mnakaa kwanza baa mle mnywe ndo mkafanye yenu, huwa mnafanyaje
Kwa sababu Mimi ukinambia game kesho duu napotezaga network hata kazini akili haikai vzr nikifikiria huo mchezo mnara hua unasoma kila wakati sa ndo unambie tupitie Kwanza baa cjui tule tunywe ndo twende ujasiri huo ntaupata wapi labda tukaanzage kwanza ndo mambo mengine yafate.
Hua najiuliza wenzangu mnawezaje?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
thank you , ndio hatuna pesa lakini sio tamaa kihivyo .Okay i appreciate ni kujali shukrani kwa kunielewesha hilo
Kuna wenye tamaa na kutokuwa na hela sio kigezo cha kuikubali tamaa ikutawale.thank you , ndio hatuna pesa lakini sio tamaa kihivyo .
Sure thing, ikupe akilili ya kupambana na si vinginevyo .Kuna wenye tamaa na kutokuwa na hela sio kigezo cha kuikubali tamaa ikutawale.
well said sikupingi mamaSure thing, ikupe akilili ya kupambana na si vinginevyo .
Mimi sina tofauti na mleta mada. Tunaanza mtanange kwanza, alaf ndio mengine yanafata 😅😅😅
😀😀😀😀😀😀😀aloooMimi sina tofauti na mleta mada. Tunaanza mtanange kwanza, alaf ndio mengine yanafata 😅😅😅
Sasa je 😅😅😅😀😀😀😀😀😀😀alooo