KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Ndio hao mkuu. Wakishapata smart fone kutwa nzima kutusimanga sisi wa huku kwa bashite.

Mmmhhhh yupi hyoSasa huyo ukimfanya houseboi wako nyumban mke akishoboka tu ujue imekula kwako show atakayopewa![]()
![]()

Wanaingia chimbo kutafuta kitoweo cha sikukuu.
Ndio hao mkuu. Wakishapata smart fone kutwa nzima kutusimanga sisi wa huku kwa bashite.

Hao wq kule kanda ya ziwa