Hivi wanaume wa mkoani ndo hawa?

Hivi wanaume wa mkoani ndo hawa?

47b525541742e42d1c111b7d71c326df.jpg

[emoji46][emoji46][emoji46]
!![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mwaka gani......au Jana hiyo
 
Ndo hao ambao mwanaume mmoja ni sawa na wanaume kumi Wa dar
Dongo hili, hapa wanaume wa dar walalia chips na mayai yasio tokana na jogoo lazima wapite kushoto, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cjui kwann watu wa mkoan wanatushangaa tukienda mkoan
Mara ujilembe kaa demu, mara makalio nje, sauti laiini, mara hauwez kutafuna muwa et mpaka machine ikukamulie, Maji ya kunywa unataka ya dukani, sasa kwann wasikushangae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom