kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Mara unakula mahindi machanga ya kuchoma huku unaweka ndimu na pilipili!ni lazima wakushangae sanaMara ujilembe kaa demu, mara makalio nje, sauti laiini, mara hauwez kutafuna muwa et mpaka machine ikukamulie, Maji ya kunywa unataka ya dukani, sasa kwann wasikushangae.
[emoji3][emoji3][emoji3]